PICHA: Silaha alizokamatwa nazo Mansoor

PICHA: Silaha alizokamatwa nazo Mansoor

Baada ya polisi kupata taarifa kutoka kwa "wasamaria wema" kuwa Mansoor anamiliki bunduki nilidhani jambo la kwanza ilikuwa ni kupitia rekodi za wamilki bunduki na kuhakikisha kuwa Mansoor anaruhusiwa au aruhusiwi kumiliki bunduki. Kitendo cha polisi kuvamia nyumbani kwa Mansoor na kikosi cha FFU ni uonevu mtupu.

Kweli mkuu cha kujiuliza je hao wasamaria wema walitoa taarifa kama mansoor anamiliki silaha au anamiliki idadi kubwa ya risasi?kwa sababu polisi wanafahamu kuwa mansoor anacho kibali cha kuwa na silaha lakini walienda nyumbani kwa mansor wakakuta anamiliki risasi nyingi,hii maana yake ni kwa jeshi la polisi kufanya ukaguzi kwa raia wote wenye vibali vya kumiliki silaha na sio kwa mansoor isije kuwa na hao wanamiliki idadi kubwa ya risasi.
 
Kweli mkuu cha kujiuliza je hao wasamaria wema walitoa taarifa kama mansoor anamiliki silaha au anamiliki idadi kubwa ya risasi?kwa sababu polisi wanafahamu kuwa mansoor anacho kibali cha kuwa na silaha lakini walienda nyumbani kwa mansor wakakuta anamiliki risasi nyingi,hii maana yake ni kwa jeshi la polisi kufanya ukaguzi kwa raia wote wenye vibali vya kumiliki silaha na sio kwa mansoor isije kuwa na hao wanamiliki idadi kubwa ya risasi.

Ili kumtendea haki Mansoor Jeshi la polisi itabidi kufanya zoezi la kupekua nyumba za wamiliki bunduki nchi nzima kuhakiki idadi na iana ya risasi walizonazo.
 
Umemsikia Mansoor mwenyewe akisema hizo silaha kabambikizwa kwamba si zake? Amekuambia kwamba hana kazi nazo? Pande mbili zikigongana, kabla ya kuchukua msimamo, ni vyema kusikiliza pande zote, ukapima na kulinganisha hoja.

Kuchukua upande bila ukweli ni tatizo


Ni uongo tu ni mambo ya kupanga tu ccm wameishiwa mbinu wanajaribu kuwatumia inteligencia wao kubuni mbinu za kudhoofisha mapambano, ngoma imebana 2015 wanaachia tu
 
Wanaweza sana hawa watu kufanya lolote when they are desperate. Wote tunajua walivyomfanyia Maalim Seif wakati hawamtaki CCM. Tunajua walituma a killer squard ikiongozwa na wakati ule Moses Nnauye tena yenye license to kill ndani ya nyumba yake ku plant evidence wanayoitaka wao. Leo hii baadhi ya wale vijana wakati huo wakiitwa chipukizi/UVCCM ni viongozi wakubwa serikalini, zao la uhifadhina unategemea nini kwa serikali inayozalishwa na chama chenye mambo ya kishenzi kama hayo. Ndio maana unaona leo Hii Daktari mzima toka kigoma aliyepewa uenyekiti wa UDASA anachamba mchana kweupe.
 
Kama ni kweli basi serikali ni dhaifu mno mtu anawezaje kumiliki silaha nzito na wao wakiwepo wameshindwaje kuzuia mpaka anazimiliki mipaka wanalinda wao,uhamiaji wao sasa iweje washindwe kuzuia.?
 
Ni uongo tu ni mambo ya kupanga tu ccm wameishiwa mbinu wanajaribu kuwatumia inteligencia wao kubuni mbinu za kudhoofisha mapambano, ngoma imebana 2015 wanaachia tu

hii kali, ina maana hizo siraha siyo zake?!!
 
Kama ni kweli basi serikali ni dhaifu mno mtu anawezaje kumiliki silaha nzito na wao wakiwepo wameshindwaje kuzuia mpaka anazimiliki mipaka wanalinda wao,uhamiaji wao sasa iweje washindwe kuzuia.?
hizo siraha zote zinaruhusiwa kwa mtu binafsi kumiliki, tatizo nadhani liko kwenye idadi ya risasi! huenda alipata hizo risasi zawadi au alichukua sehem kwa bei rahisi sana akaamua ku-stock up akijifariji hakuna atayemkagua!
 
tatizo ni kama anamiliki bila kuwa na kibali vinginevyo hizo ni silaha za kiraia kabisa,mfano hiyo shortgun ni bunduki inayo replace gobore,haina mpango wowote bora ushike machete,lakini Adam Malima alikutwa na sub machine gun lakini hadi leo vyombo uya usalama vimefumba macho,
ONLY IN BONGO LAND.
 
Jambo la uhakika ni kuwa,hizo silaha alipewa wakati akiwa ccm ili kuwahujumu cuf,baada ya kuondoka ccm wakaamua kumlipua! CCM ni zaidi ya MAGAIDI.
 
Swali la kizushi tu mwanafyale; Tatizo unaloliona ni kuwa na silaha au risasi. Kwani zilikuwa risasi za silaha tofauti na alizo nazo au? Kuna kitu mwanafyale kinaitwa kulenga shabaha. Mtu unatoka na bunduki yako unaenda porini au hata nyuma ya nyumba yako, kama umesha waambia majirani kwamba unalenga shabaha. Unaenda kupiga risasi zako za shabaha hata hamsini hivi kwa siku. Kule JKT tulipewa risasi 30 siku moja tukaenda kulenga shabaha. Sasa weye waona hizo ni nyingi kakutwa nazo?? Akitumia 30 kwa siku atatumia kwa siku ngapi??? Tuelezwe kama aliziiba au aliuziwa kimagendo lakini kama ana risiti zake, shida iko wapi??
Kama walimkuta na silaha ambayo haimiliki kihalali hapo ni kosa. Msimtafutie mtu kosa jamani. Mwacheni awe ametenda kosa. Kama hajawahi kutishia mtu, hajawahi kuvamia kituo cha petroli kuiba sasa kukutwa tu na risasi za silaha alizonazo kihalali ndiyo iwe issue??
Msimchukie mtu hivyo ati si mwenzetu. Mnamtisha ili arudie matapishi??

Mkuu kuna kiwango maalum cha risasi kinachokubalika kuwa nazo kwa wakati mmoja, huyu mjukuu wa hizbu risasi zote hizo alikuwa anarundika kinyemela kwa kazi gani!
 
Hivi Malima walimfanta nn na ile silaha ya kivita. Waje hapa waseme hii na ile ya Malima na ni hatua gani walimchukulia kama sio kumpa kitengo nyeti
 
Hapo anaweza akawa matatani kwenye idadi ya risasi.
Lakini hizo silaha mbili pisto na gobore zote kisheria raia anaruhusiwa kumiliki ili mradi awe na kibari.

Angakamatwa na silaha za kivita kama hii hapa chini ndio ingekuwa tatizo.
348px-AK-47.jpg
Sawa anaruhusiwa kuwa nazo sasa na hiyo mirisasi yote ya nini zanzibar
 
Mansoor himid,aliyewahi kuwa mwakilishi na wakati flani waziri asiyekua na wizara maalum na pia ni shemeji wa rais karume,
Akutwa na silaha hizi

attachment.php
attachment.php
Adam Malima alikutwa na silaha kama hizo guest. Issue yake iliishia wapi?
 
adam malia alipokuwa anatembea na smg (kahumba) mbona hakuhojiwa? kweli ukiwa ccm uko juu ya sheria
 
ismail aden rage al shabab anatembea na na bastola kwenye mkutano analipishwa fine ya laki2 hakushtakiwa policcm mnatia kichef chef bongo hamna police kama india tu
 
Back
Top Bottom