Picha - Shonza/Mwampamba UVCCM - waliobaki wawafuate

Picha - Shonza/Mwampamba UVCCM - waliobaki wawafuate

Mtama ukishamwagwa uwanjani penye kuku wengi kila kuku ni kudonoa kadiri ya uwezo wake. Kuna kuku watakao donoa mchanga badala ya mtama kwa kiherehere chao, lakini wate wako uwanjani wanadonoa mtama na wanaonekana wote ni kuku wako busy kudonoa mtama.

inategemea hata mtama uko kiasi gani na kuku wako kiasi gani mpaka waanze kudonoa donoa mchanga..........si basi na mwenye mtama lazima awaruhusu hao kuku kudonoa donoa.
 
ccm wanawakumbatia kwa kipindi hichi kifupi, CD zao zikishachuja watakufa na kupotea kabisa kisiasa
Kwanza nawashangaaga kwenye majukwaa ya kisiasa wanahutubiaga nini watanzania wasichokijua?
 
Imezoeleka humu jf ukienda tofauti na mawazo ya watu unaitwa mjinga.Mi nasema wana haki Shonza na Mwampamba kwenda huko maana waliona CDM hapa wafaia kwa madai yao.

Toka kwa MrArsenal
 
Jamani watoto wanajengewa umasikini ili waendelee kuwa ombaomba,afu then wanakupa kitengo,maskini hawezi kataa!Lengo la shonza ni kujikomboa kimaisha co kukomboa tz over.
 
308012_334538663316880_538665124_n.jpg


Waliojivika ngozi ya kondoo ndani ya CHADEMA kama akina Juliana Shonza na Mtela Mwampamba wangalipo? Hapana budi kuwaondoa warudi kwenye kundi lao kama wenzao hapa kwenye picha, Hatutaki ndumila kuniwi, wanachotafuta ni shibe si ukombozi wa Mtanzania.

CHADEMA wabaki wapiganaji wa kweli, kwani CCM wangali na oversize zisizotumiwa zinawasubiri.

Mbona hilo shart Shoza ni oversize kapewa la nani?njaa mbaya sana wakuu kelele zote kuhusu Heche wamerudi nyumbani kwao.
 
Reagan ni miongoni mwa marais bora waliowahi kuongoza Marekani.
Tafuta muda usome historia yake jinsi alivyotoka democratic party kwenda republican na kuascend mpaka white house...

Heshima kwako Mkuu ZeMarcopolo!

Pamoja na ya Reagan, haitatokea kwa wawili hao. Reagan pamoja na kuhama hakuwahi kuwa MSALITI!! Kumbuka wawili hawa walifukuzwa na sio walihama. Juliana hadi anajiunga MAGAMBANI, bado alikuwa anauhitaji Umakamu wa BAVICHA. Ni baada ya kuwa na uhakika kwamba CHADEMA ndiyo kimenuka kabisa, kaamua kujisalimisha kwa waliwatuma.

Na hapo ndiyo imetoka. wataishia kupiga domo majukwaani, na single zao zikishazoeleka ndiyo basi tena wamesha sahauliwa. MAGAMBANI kumesha jaa bwana. Tena kumejaa kwa mtindo wa "HUYU NI MTOTO WA MWENZETU". Wameliwa hao na ndiyo kwisha kazi.
 
Imezoeleka humu jf ukienda tofauti na mawazo ya watu unaitwa mjinga.Mi nasema wana haki Shonza na Mwampamba kwenda huko maana waliona CDM hapa wafaia kwa madai yao.

Toka kwa MrArsenal

elewa kuwa walifukuzwa chadema wakaamua kukimbilia ccm na mpaka sasa choza anasema yeye ni makamu mwenyekit bavicha..
 
elimu zao hazija wakomboa....labda kwa matumbo yao tu...walisoma ili wasife njaaa....makapi yakafie mbali

Mkuu hao wameenda darasani lakini hawajaelimika; Hakuna msomi mwenye akili timamu utamkuta CCM. Tafakari !! Chukua hatua !!!!!!!!!!
 
Huyo shonza anajilaumu kwanini hakusema amebakwa na dr, angalau dr angechafuka.

Hata hivyo hajachelewa, azushe dr alishawahi mbaka ofisini ili akuze mtaji.

Namshauri aende kwa nape na amwambie ana-scandal ya dr, ataje dau, afu aitishe press, alete ch*p iliyochanika aseme dr alimbakaga, kwisha, CDM itasambaratika. Mi mwenyewe nitahamia CCM.
 
Sasa huu ni kama wivu fulani. Hawa vijana walikuwa hawatakiwi CHADEMA na kila mpiganaji ndani ya CHADEMA alikuwa anahoji kwa nini wanang'ang'ania CHADEMA wakati wamefukuzwa. Haya, wameondoka na kutafuta kichali kingine, bado tu mnawafuata na kusema kitendo walichokifanya hakifai na kinafaa kupuuzwa. JUST LET THEM GO. Afterall, wameisaidia CHADEMA kutokutumia pesa kwa ajiri ya vikao vya kusikiliza RUFAA za uongozi na uanachama wa BAVICHA.

Kunavyoonekana kama kuna watu hapa JF hawakutegemea kama wataenda na kujiunga na CCM. IT'S THEIR CHOICE. IT'S THEIR RIGHT. FINITO

CHADEMA hatuwaonei wivu wowote ni kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchukuzi.pia tunaona kama kakituko fulani vile.mtu kama Mwampamba aliye kuwa mgombea ubunge mbozi mashariki alivyo kuwa anainanga ccm hazarani kwa kueleza ubaya wake na kuimwagia CHADEMA sifa kedekede leo eti ndiye aliyebadilika na kuanza kuifanyia chadema kile alicho kuwa anawafanyia ccm na kuwaona ccm kama lulu wakati hapo awali aliwaona kama mavi.na kupokelewa ccm kama shujaa hata bila ya kueleza kama yale machafu aliyokuwa anayasema ndani ya ccm yameisha ndiyo maana kaamuwa kujiunga na chama hicho.kama chadema ambayo ilikuwa inaonekana kama lulu hapo awali leo imegeuka kuwa kama mavi huku ccm ambayo ilikuwa inasemwa kwa kila aina ya uchafu imegeuka kuwa lulu basi vyama vyote ni safi.matatizo yapo kwa hao wanaobadilika kama vinyonga naweza kusema yote hayo yanasababishwa na njaa kali.
 
Kubadilisha mawazo kutokana na uhalisia wa hali ni ishara ya kukomaa kiakili.

Yeah nikweli ila iwapo waelekea katika mawazo ya kujenga zaidi kwa namna mpya kwani hata challenges nyingi sasa zaitaji namna mpya kuzikabili.................SIO NAMNA ILEILE YA MIAKA HAMSINI TOKA UHURU..........teh teh teh....
 
Ze Macopolo ngoja tukuachie uzi maana naona unapost mfulululizo possibly ni mshirika wa kina SHonza naona unahangaika kuwatetea.
 
Back
Top Bottom