![]()
Waliojivika ngozi ya kondoo ndani ya CHADEMA kama akina Juliana Shonza na Mtela Mwampamba wangalipo? Hapana budi kuwaondoa warudi kwenye kundi lao kama wenzao hapa kwenye picha, Hatutaki ndumila kuniwi, wanachotafuta ni shibe si ukombozi wa Mtanzania.
CHADEMA wabaki wapiganaji wa kweli, kwani CCM wangali na oversize zisizotumiwa zinawasubiri.
Hawajahama chama wewe gamba,tumefukuza haya manyang'au....rubbish kabisa!!!!Jaribu kujustify uhusiano kati ya kuhama chama na njaa.
muulize ile kauli yake kuwa yeye kujiunga na ccm ni sawa na kumuingilia maungoni mama ake iliishia wapi??
Yuko kitengo cha "mawasiliano" ofisi ndogo. Hapandi tena daladala, siku hizi ana baloon.
CHADEMA hatuwaonei wivu wowote ni kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchukuzi.pia tunaona kama kakituko fulani vile.mtu kama Mwampamba aliye kuwa mgombea ubunge mbozi mashariki alivyo kuwa anainanga ccm hazarani kwa kueleza ubaya wake na kuimwagia CHADEMA sifa kedekede leo eti ndiye aliyebadilika na kuanza kuifanyia chadema kile alicho kuwa anawafanyia ccm na kuwaona ccm kama lulu wakati hapo awali aliwaona kama mavi.na kupokelewa ccm kama shujaa hata bila ya kueleza kama yale machafu aliyokuwa anayasema ndani ya ccm yameisha ndiyo maana kaamuwa kujiunga na chama hicho.kama chadema ambayo ilikuwa inaonekana kama lulu hapo awali leo imegeuka kuwa kama mavi huku ccm ambayo ilikuwa inasemwa kwa kila aina ya uchafu imegeuka kuwa lulu basi vyama vyote ni safi.matatizo yapo kwa hao wanaobadilika kama vinyonga naweza kusema yote hayo yanasababishwa na njaa kali.
Hongreni uamuzi wenu sahihi nasikia mbozi na mbeya wanawasubiri kwa hamu sana.ili vijana wenzenu nao wavue magwanda.baada ya kutambua kuwa magwanda yalikuwa ni kutumikishwa kwa maslahi yao.![]()
Waliojivika ngozi ya kondoo ndani ya CHADEMA kama akina Juliana Shonza na Mtela Mwampamba wangalipo? Hapana budi kuwaondoa warudi kwenye kundi lao kama wenzao hapa kwenye picha, Hatutaki ndumila kuniwi, wanachotafuta ni shibe si ukombozi wa Mtanzania.
CHADEMA wabaki wapiganaji wa kweli, kwani CCM wangali na oversize zisizotumiwa zinawasubiri.
Hawajasema wanataka kupata madaraka thats one, lakini two umakamu mwenyekiti wa bavicha ambayo hata ofisi haina ulikuwa na manufaa gani kwa Juliana? Sanasana Juliana ndiye aliyekuwa anatumia kipaji chake kuinufaisha chadema....
Kipaji cha kusema uwongo?
Kwamba BAVICHA ofisi haina unajuwa ofisi za uvccm na chama chenu cha majambazi zilipatikanaje?
Do not argue like a fool.
![]()
Waliojivika ngozi ya kondoo ndani ya CHADEMA kama akina Juliana Shonza na Mtela Mwampamba wangalipo? Hapana budi kuwaondoa warudi kwenye kundi lao kama wenzao hapa kwenye picha, Hatutaki ndumila kuniwi, wanachotafuta ni shibe si ukombozi wa Mtanzania.
CHADEMA wabaki wapiganaji wa kweli, kwani CCM wangali na oversize zisizotumiwa zinawasubiri.
Wanadebate Reagan na Shonsa wakati mmoja keshakufa kitambo. Hahahha!!Ninyi wadau ni kidada chanu basi tu. Mchina ambaye ana uraia Tanzania, Mhindi mwenye uraia wa Tanzania maana yake si mchina wala mhindi tena kwa damu sababu ya kuwa raia wa Tanzania? Genetic genealogy haipotei kwa kuwa raia wa nchi fulani, unabaki naye labda ipotee taratibu kwa budding.
cc ZeMarcopolo
Sasa kuongozana kila wanapoenda kunamaanisha nn? Au ndo trade mark yao kwamba wametoka wote CHADEMA na wataendelea kuwa wote CCM.
Kweli mdomo unalipa
Unamjua mmiliki wa jengo walilopanga chadema makao makuu pale Kinondoni?, na unajua kodi inalipwa sh. ngapi kwa mwezi?
Wajinga ndio waliwao...