Mwanaukweli
JF-Expert Member
- May 18, 2007
- 4,789
- 1,732
Wadau, siku hizi hatuoni members wa JF Juliana Shonza na Mtela Mwampamba wakipost post zao za propaganda wakiwatukana viongozi wa CHADEMA kama tulivyozoea kuona baada ya wao kufukuzwa CHADEMA.
Wengi mtajiuliza ni kwa nini. Habari za ndani zilizovuja toka Lumumba zinasema kuwa uongozi wa CCM Taifa haukuridhishwa na mwenendo na propaganda za majitaka za makada hao. Inatajwa pia kuwa baadhi za sababu ni hizi.
1. Kushindwa kwa uchaguzi Arusha 4-0 huku Shonza na Mwampamba wakiwa ndio wametawala kampeni hizo chini ya Mwigulu.
2. Kitendo cha Mwampamba kuropoka humu kuhusu jaribio la Mwigulu Nchemba la kumnunua mmoja wa wagombea udiwani wa Arusha. Kuropoka huko kulithibitika ni uongo, na kuliwafadhaisha wana CCM wengi, wakishuhudia UONGO wa wazi toka kwa vijana hao waliofukuzwa CHADEMA.
3. Kimbelembele cha Mwampamba kuja hapa JF na kutangaza vyeo vyake ndani ya CCM, ambavyo viliacha maswali mengi ikiwemo vikao gani vilivyompa vyeo hivyo na kuzua kutoelewana ndani ya UVCCM:
4. Kuchafuka hali ya hewa ndani ya UVCCM baada ya kuona wale waliojenga chama muda mrefu wakikosa thamani na hao wakimbizi toka CHADEMA wakikumbatiwa.
Kama ilivyotabiriwa na wengi, hawa vijana wameshatumika kama toilet paper, na wanaendelea kutoweka kwenye siasa za Tanzania.