ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,690
Mkuu, maswali yako yapo irrelevant na ninachoongea. Naweza kukujibu ili nikuweke sawa, kuna vitu viwili ambavyo vina shape tabia ya mtu, genes and environment. No doubbt, genes za obama, wewe, Bush, kaka yake Obama zipo tofauti (kumbuka that 1% difference). Pili, environment, mazingira aliyo kulia Obama na mdogo wake obama ni tofauti. Pia Obama's mother is white. Kwa hiyo he has inherited some white's characteristics. Ukiweka, environment and genes, there is no way Shonza akawa kama R. Reagan, as you have stated.
Kwanza umetoka kwenye umarekani umekuja kwenye white characteristics. I hope unajua tofauti kati ya umarekani na u-white. Do you believe kwamba whites are genetically better than blacks?
Vilevile sasa umetoka kwenye genes umekuja kwenye environment. Haya tuendelee kwenye hiyohiyo environment uliyoichagua. Je, mmarekani ambaye ni mtoto wa drug dealers anayeishi na jobless drug addicted parent ukimfananisha na mtoto wa Asha-Rose Migiro nani anakuwa kwenye mazingira mazuri?