Umeshaseama neno 'Reagan' 'Marekani'.
Hapa tunazungumzia masalia waliofokuzwa chadema, alafu tupo tanzania.
Mkuu hebu tuhabarishe sheria za Chadema zinakataza wanachama waliofukuzwa wasijiunge na vyama vingine?
Chama
Gongo la mboto DSM
Umeshaseama neno 'Reagan' 'Marekani'.
Hapa tunazungumzia masalia waliofokuzwa chadema, alafu tupo tanzania.
Na pia ajiandae kugawa uroda kavukavu kwa vigogo wa juu wa CCM ili jina lake lisikatwe na kamati kuu.mwambie shoza ili apitishwe na ccm kugombea ubunge hapo ubungo inabidi awe na million 800 ya kuhonga makada wa ccm.
Ndiyo maana siku zote nasema walichokifuata akina shonza chadema baada ya kumaliza chuo kikuu wao ni pesa za kisiasa kama mjuavyo ajira zilivyongumu kwa sasa,,baada ya kuona huku chadema ni kazi kwa kwenda mbele na kujitoa zaidi hadi kuufikia ukombozi wa kweli kwao ikawa ngumu coz wamefuata pesa.Yuko kitengo cha "mawasiliano" ofisi ndogo. Hapandi tena daladala, siku hizi ana baloon.
haya ni matokeo ya kuendekeza njaa.....njaa ukiindekeza inaweza kukufikisha pabaya.....elimu zao hazija wakomboa....labda kwa matumbo yao tu...walisoma ili wasife njaaa....makapi yakafie mbali
Afadhali wametuondolea kiwingu. Hebu tuendelee na M4C yetu.
Mkuu acha kuchanganya mambo.What is the obsession with Shonza and Mwampamba? Mbona siyo watu wa kwanza kuhamia CCM toka Chadema and vice versa na wala hawata kuwa wa mwisho.
Huyu dada Shonza ambae sasa kawa "overnight celebrity" hamna aliekua na time nae. Dada akaandika thread hapa JF kwamba atajitetea ndani ya Chadema akapondwa akaambiwa kama hatakiwi Chadema kwa nini asihame. Kahama imekua issue.
Ninacho weza sema ni kwamba inaelekea kuhama kwake kumeiafect Chadema au at least wafuasi wa Chadema humu JF. Kwa sababu kama mtu ni "mamluku", "anatumiwa", na maneno kibao yaliyo tumika kumdescribe huyu dada kwa nini mjaze thread zake humu JF? Kama alikua hana umuhimu Chadema hamna haja ya kumuongelea.
Ndiyo maana siku zote nasema walichokifuata akina shonza chadema baada ya kumaliza chuo kikuu wao ni pesa za kisiasa kama mjuavyo ajira zilivyongumu kwa sasa,,baada ya kuona huku chadema ni kazi kwa kwenda mbele na kujitoa zaidi hadi kuufikia ukombozi wa kweli kwao ikawa ngumu coz wamefuata pesa.
KWA KUONA CHADEMA ULAJI HAKUNA,WAKAKUMBUKA KWA NINI WAFE NJAA WAKATI CCM UKIHUDHURIA KIKAO TU UNASAINI POSHO???TAFAKARI,CHUKUA HATUA.
Mbona Mchange amekuwa mkimya nini kimemkuta?
Mbona Mchange amekuwa mkimya nini kimemkuta?
Mbona Mchange amekuwa mkimya nini kimemkuta?