Picha - Shonza/Mwampamba UVCCM - waliobaki wawafuate

Picha - Shonza/Mwampamba UVCCM - waliobaki wawafuate

hawa walikuwa CDM for a mission kwa bahati mbaya ikakatika katikati. Haya wanayofanya si mapya..tuwazoee na kuwadharau tu.
 
308012_334538663316880_538665124_n.jpg

Kutoka umakamu mwenyekiti taifa Chadema na kushika kukosa hata hadhi ya kubeba mafaili ya chama, na kinachofuatia ni kupotea ghafla kama akina Masumbuko Lamwai.

Sasa huu ni kama wivu fulani. Hawa vijana walikuwa hawatakiwi CHADEMA na kila mpiganaji ndani ya CHADEMA alikuwa anahoji kwa nini wanang'ang'ania CHADEMA wakati wamefukuzwa. Haya, wameondoka na kutafuta kichali kingine, bado tu mnawafuata na kusema kitendo walichokifanya hakifai na kinafaa kupuuzwa. JUST LET THEM GO. Afterall, wameisaidia CHADEMA kutokutumia pesa kwa ajiri ya vikao vya kusikiliza RUFAA za uongozi na uanachama wa BAVICHA.

Kunavyoonekana kama kuna watu hapa JF hawakutegemea kama wataenda na kujiunga na CCM. IT'S THEIR CHOICE. IT'S THEIR RIGHT. FINITO
 
million 140 kwa shoza ni kubwa sana hasa ukizingatia kuwa hizo million 2 alizolipwa kwaajili ya kujivua nguo majukwaani hazitadumu mpaka 2015.

Hahahahahahahahaha.
Mkuu usiwe na wasiwasi. Kama lengo ni kujenga Tanzania bora, hakuna sababu ya kukabana koo.
One problem may have many solutions. Badala ya kutumia muda mwingi kucriticise njia anayotumia mwenzio, tumia muda huo kuhakikisha kuwa njia unayotumia wewe ni sahihi.
 
mimi nashauri aanze kujichanga pesa kwa ajili ya kupata hongo ya kuwahonga makada wa ccm, wala sikosoi njia anayotuima kwa sababu najua ccm haina njia nyingine zaidi hii.
 
Jaribu kujustify uhusiano kati ya kuhama chama na njaa.

siyo kuhama kafukuzwa chama only CCM ndio utakuta hii yakubadili maneno. Waziri mkuu mstaafu Edward Lowasa(hehehe siyo aliyejiuzulu)

watz hatupenda mwampshonzalisation hii nitabia mbaya sana katika jamii yetu kama mwampashonza paper(Toilet paper)
 
Wana genes tofauti na yako. There is something wrong with your genes....Ukikaa karibu na wamarekani wenyewe utagundua hilo.

Genes za kila mtu ni unique. Kwahiyo there is no doubt about genes za wamerakani kuwa tofauti na zangu.
Kwanza kajifunze tofauti kati ya genes na chromosomes halafu ndio uje kuendelea na mjadala.
 
Genes za kila mtu ni unique. Kwahiyo there is no doubt about genes za wamerakani kuwa tofauti na zangu.
Kwanza kajifunze tofauti kati ya genes na chromosomes halafu ndio uje kuendelea na mjadala.

Genes is information and lie within the chromosomes. Most genes are the same to all human, only less than 1% is different. Hii ndio sababu nimekwambia genes zako na hao watu wengine ni tofauti. Ndio maana hata uwezo wa kufikilia, maumbile, strength vipo tofauti na wamarecani au wajapani ( Kumbuka, hiyo ni tofauti ya less thn 1% ndio inawafanya wengine wawe advanced na naupeo kuliko wewe...JUST LESS THAN 1%). Hii kitu ina run through genes, generation to generation. huwezi kumlinganisha R. Reagan na Shonza- different gene, different environment. Dig it?

Kwa faida yako;

View attachment 83413

Genes is information and lie within the chromosomes. Most genes are the same to all human, only less than 1% is different. Hii ndio sababu nimekwambia genes zako na hao watu wengine ni tofauti. Ndio maana hata uwezo wa kufikilia, maumbile, strength vipo tofauti na wamarecani au wajapani ( Kumbuka, hiyo ni tofauti ya less thn 1% ndio inawafanya wengine wawe advanced na naupeo kuliko wewe...JUST LESS THAN 1%). Hii kitu ina run through genes, generation to generation. huwezi kumlinganisha Regan na Shonza- different gene, different environment. Dig it?

Kwa faida yako;

View attachment 83413

Tatizo la JF naweza kujikuta nabisha na ki mwanafunzi cha chuo kikuu mwaka wa pili. Tambua kuwa hata wewe kesho unaweza kuwa mmarekani na hilo haliwezi kubadilisha chochote kwenye genetic make up yako.

Nakupa tu onyo kwa faida yako na vizazi vyako vijavyo. Ukiendelea kuamini kuwa una uwezo mdogo genetically utaishia kuwa mtumwa hapa duniani wewe na vizazi vyako vyote vitakavyopata mafundisho yako hayo.

By the way - endelea kujielimisha kuhusu genes uko shallow mno...
 
Tatizo la JF naweza kujikuta nabisha na ki mwanafunzi cha chuo kikuu mwaka wa pili.

Nakupa tu onyo kwa faida yako na vizazi vyako vijavyo. Ukiendelea kuamini kuwa una uwezo mdogo genetically utaishia kuwa mtumwa hapa duniani wewe na vizazi vyako vyote vitakavyopata mafundisho yako hayo.

By the way - endelea kujielimisha kuhusu genes uko shallow mno...

Mkuu, tatizo sijaaminisha kuwa nani yupo na uwezo mkubwa au mdogo genetically. Nimejaribu kustate FACTS, kuwa kuna tofauti ya GENES, ambayo hiyo tofauti (less than 1%) ndio inafanya binadamu kuwa tofauti. Ndio maana wengine wanakuwa na akili zaidi, na nguvu, speed, kuelewa mambo haraka. These are FACTS, angalia history, ni FACTS kuwa Marecan na Europe waliendelea kabla yako. Unabishana na FACTS?

The best way kutoka katika mental slave ni kuaccept the facts, then endelea ku advance na mambo mengine.

"ki mwanafunzi cha chuo kikuu mwaka wa pili" Weka heshima kidogo kuliko dharau unapo taka kujenga hoja.... Looks like I'm at a wrong place!!! I'm at JF, home of great thinkers?
 
Hawajasema wanataka kupata madaraka thats one, lakini two umakamu mwenyekiti wa bavicha ambayo hata ofisi haina ulikuwa na manufaa gani kwa Juliana? Sanasana Juliana ndiye aliyekuwa anatumia kipaji chake kuinufaisha chadema....

Ofisini nini? Wajua maana ya ofisi? Ofisi inaweza kuwepo bila uwepo wa watu? Ofisi ni watu, hata wakikutana chini ya mti au kijiweni ni ofisi. Mkulima shambani ni ofisi.

Tunaendelea kutumia maneno bila kujua maana na matumizi yake yanavyoashiria kama viongozi wa CCM walivyo ving'ang'anizi wa kutaka uheshimiwa bila kujali maana na matumizi ya uheshimiwa kama anavyovimbishia mishipa Ndugai.

Maana ya ofisi si jengo bali kazi
 
Sasa huu ni kama wivu fulani. Hawa vijana walikuwa hawatakiwi CHADEMA na kila mpiganaji ndani ya CHADEMA alikuwa anahoji kwa nini wanang'ang'ania CHADEMA wakati wamefukuzwa. Haya, wameondoka na kutafuta kichali kingine, bado tu mnawafuata na kusema kitendo walichokifanya hakifai na kinafaa kupuuzwa. JUST LET THEM GO. Afterall, wameisaidia CHADEMA kutokutumia pesa kwa ajiri ya vikao vya kusikiliza RUFAA za uongozi na uanachama wa BAVICHA.

Kunavyoonekana kama kuna watu hapa JF hawakutegemea kama wataenda na kujiunga na CCM. IT'S THEIR CHOICE. IT'S THEIR RIGHT. FINITO

Mtama ukishamwagwa uwanjani penye kuku wengi kila kuku ni kudonoa kadiri ya uwezo wake. Kuna kuku watakao donoa mchanga badala ya mtama kwa kiherehere chao, lakini wate wako uwanjani wanadonoa mtama na wanaonekana wote ni kuku wako busy kudonoa mtama.
 
Mkuu, tatizo sijaaminisha kuwa nani yupo na uwezo mkubwa au mdogo genetically. Nimejaribu kustate FACTS, kuwa kuna tofauti ya GENES, ambayo hiyo tofauti (less than 1%) ndio inafanya binadamu kuwa tofauti. Ndio maana wengine wanakuwa na akili zaidi, na nguvu, speed, kuelewa mambo haraka. These are FACTS, angalia history, ni FACTS kuwa Marecan na Europe waliendelea kabla yako. Unabishana na FACTS?

The best way kutoka katika mental slave ni kuaccept the facts, then endelea ku advance na mambo mengine.

"ki mwanafunzi cha chuo kikuu mwaka wa pili" Weka heshima kidogo kuliko dharau unapo taka kujenga hoja.... Looks like I'm at a wrong place!!! I'm at JF, home of great thinkers?

Labda nikuulize swali kidogo. Unaweza kumtambua mmarekani kwa kuanalyse genes zake? au unaweza kumtofautisha mmarekani na mtanzania kwa kuangalia genes zao?

Kwa mfano ukichukua genes za Obama halafu ukafananisha na za mdogo wake Obama baba mmoja ambaye ni mkenya na za George Bush. Zipi zitakuwa zinafanana zaidi?
 
Mkuu, maswali yako yapo irrelevant na ninachoongea. Naweza kukujibu ili nikuweke sawa, kuna vitu viwili ambavyo vina shape tabia ya mtu, genes and environment. No doubbt, genes za obama, wewe, Bush, kaka yake Obama zipo tofauti (kumbuka that 1% difference). Pili, environment, mazingira aliyo kulia Obama na mdogo wake obama ni tofauti. Pia Obama's mother is white. Kwa hiyo he has inherited some white's characteristics. Ukiweka, environment and genes, there is no way Shonza akawa kama R. Reagan, as you have stated.

Hii kitu ina trace your famil's heritage itajibu swali lako vizuri, inaitwa "GENETIC GENEALOGY".nHihhii
In
 
Back
Top Bottom