ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,690
Hapana simjui. Namfahamu tu yule aliyetengeneza ARV feki yeye na mkewe wakapata pesa za kuhonga wana CCM kwa kuwahonga laki 3 @ na simu juu. Nawafahamu na waliolifikisha taifa langu pendwa Tanzania hapa tulipo.
Huyu aliyetengeneza dawa feki ni mtu mbaya kweli kweli.