Kwahio Mama yako alivyo okota pochi barabarani saizi anahudhuria mikutano nakuhubili habari ya korona na bidhaa za viwandani kupanda bei mara dufu ndio nafuu kwako fala weweMwamba wa Africa gani anayekimbia kuhudhuria mikutano ya kimataifa ??!!, mfano mkutano wa "UNGE"----- hukuwaona akina Mugabe walikuwa wakienda huko New york na wanawachapa za uso Mabeberu??!!, hao ndio miamba ya Africa.
17th March, kwangu ni siku ya heshima sana katika Maisha yangu yote. Nitakuwa nikizuru kabuli hilo kila mwaka, kutoa heshima zangu kwa huyu Mwamba.Hakuna zawadi kubwa ambayo Mungu amewahi kuipatia Tanzania kama kutuondolea huu uchafu.Nakumbuka nilitoa sadaka ya kuteketeza kumshukuru huyu Mungu mkuu anaeishi na kutawala.
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akitoa heshima mbele ya kaburi la Hayati Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli, lililopo nyumbani kwake, Chato mkoani Geita leo Jumatatu. Magufuli alifariki dunia 17 Machi 2021, Dar es Salaam. https://t.co/vSvgBmNW1tView attachment 2027272
Siku akifa akili ndo itakukaa sawa! Unautaahira ndani yako unadhani hutakufa!?Mama yangu yupo hai kabisa anadunda
Kuna kenge zimeona wivu marehemu kwenda kutembelewa.
Duniani utakumbukwa kwa mambo mazur uliyoyatenda, mwamba kaacha vitu vingi. Hata machinga hawatomsahau.Amelala hapo mwamba wa Africa tutakukumbuka daima milele,Acacia na barrick wanakukumbuka zaidi!
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akitoa heshima mbele ya kaburi la Hayati Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli, lililopo nyumbani kwake, Chato mkoani Geita leo Jumatatu. Magufuli alifariki dunia 17 Machi 2021, Dar es Salaam. https://t.co/vSvgBmNW1tView attachment 2027272
Mi siogopi kifo.Mungu fundi kutuondolea shetaniSiku akifa akili ndo itakukaa sawa! Unautaahira ndani yako unadhani hutakufa!?
Loooo marehemu ametembelewa ? Duniani kuna watu.Kuna kenge zimeona wivu marehemu kwenda kutembelewa.
Ulimwengu ulimtambua bila ya kusafiri kokote ukiona wazungu wanakubeza ujue umewashika pabaya!Mwamba wa Africa gani anayekimbia kuhudhuria mikutano ya kimataifa ??!!, mfano mkutano wa "UNGE"----- hukuwaona akina Mugabe walikuwa wakienda huko New york na wanawachapa za uso Mabeberu??!!, hao ndio miamba ya Africa.
Hiyo yako ni ramli!Aliua kwa upanga wa risasi lkn yeye akadondoshwa na mdudu asiyeonekana kwa macho!! Duniani kila mtu ana mbabe wake!!
Watajua wenyewe hawazimi wala hawawashi!Kuna watu wamechukia
Sasa unalinganisha kifo changu mimi na kifo cha Magufuli?Mjinga ni wewe ambae hujui sayansi ya kulinganisha vitu.We jinga unafikiri hutakufa???
Vipi kwa nguli Ben Mkapa. Naye alijengewa hivyo?.Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akitoa heshima mbele ya kaburi la Hayati Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli, lililopo nyumbani kwake, Chato mkoani Geita leo Jumatatu. Magufuli alifariki dunia 17 Machi 2021, Dar es Salaam. https://t.co/vSvgBmNW1tView attachment 2027272
Unaongea haya kwa sababu wewe siyo mtoto wake Ben Saaanane au azory gwanda au Alphonce Mawazo ambao waliuawa.Unaongea haya kwa sababu wewe siyo ndugu zake wale maiti zilizokuwa zinaokotwa kwenye fukwe za bahari na kwenye mito.Daa! Mkuu you’ve gone too far ! Mungu atatuondoa wote kwa wakati ! He is dead basi !
Vipi kile kiti pale kwa angle huyo mlinzi anakesha hapo kulinda aliyelala kwani hizo vigae ni dhahabu?Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akitoa heshima mbele ya kaburi la Hayati Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli, lililopo nyumbani kwake, Chato mkoani Geita leo Jumatatu. Magufuli alifariki dunia 17 Machi 2021, Dar es Salaam. https://t.co/vSvgBmNW1tView attachment 2027272
Unaongea haya kwa sababu wewe siyo mtoto wake Ben Saaanane ambae aliuawa.Unaongea haya kwa sababu wewe siyo ndugu zake wale maiti zilizokuwa zinaokotwa kwenye fukwe za bahari na kwenye mito.
Unaongea haya kwa sababu wewe siyo ndugu zake wale jamaa waliouawa Zanzibar wakati wa uchaguzi mkuu.
Unaongea haya kwa sababu hujapoteza ndugu, jamaa na marafiki kwenye uchaguzi mkuu huku Bara.Unaongea haya kwa sababu huna ndugu aliekufa kwa Corona baada ya huyu mshenzi kupiga pini chanjo.