Picha: Rais Samia akiwa kwenye kiwanda cha Volkswagen nchini Rwanda

Acha matusi...hayauzwi mkuu....

Hivi mtu akikuambia mama yako Ni kahaba utachukulia poa?!!

Mh.Rais ni mama ,bibi na Amiri Jeshi.....

Ninyi BAVICHA mmedondoka mitini ?!!!

#KaziIendelee
#SiempreSSH
Huyo ni BAVICHA ?
 
Nionyeshe katiba au kifungu cha sheria kinachoruhusu hayo,maana mkiminywa mnakimbilia kweny balozi za wazungu,beside matuc mnayotukana hayajawahi kupunguza ugum wa maisha au hata kukupunguzia stress ulizo nazo.
Wajinga hawa Mkuu, tutawapa wanachokitafuta
 
Ila Kagame anajifanya mjanja sana,eti anaipigania Rwanda kwelikweli sijui kama anawajua wanyarwanda
 
Hayo magari yanayounganishwa vipande vyake Rwanda, tutayanunua baada ya vipande hivyo kupitia hapa Tanzania na kusafirishwa hadi Rwanda, kuviunganisha, na kuyarudisha hapa tuyanunue!, kwa bei poa kuliko ile ya kusafirisha gari moja kwa moja toka Ujerumani!
Kwako wewe Germany ni kila kitu, poor you
 
Huyo jamaa huwa anatoa zawadi ya ng'ombe, wale wenye pembe ndefu, Ankole.

Sijui wale wa Magufuli bado wapo kwenye ile ranch aliyonyakua?

..sasa rais ssh yeye katokea Znz kule hawana asili ya ufugaji.

..ukimpa ng'ombe wanaweza kwenda kufa kwasababu hana ujuzi wala mapenzi ya kufuga.

..na-suggest rais ssh apewe motokari moja toka hapo kiwandani.
 
Kwa hiyo huko ndiyo yardstick yako ya ustaarabu?

..hivyo ni vijembe tu wanavyotumia wanasiasa ktk majukwaa ya siasa.

..mzee makamba alidai wapinzani watabatizwa kwa moto.

..mdude nyagali akadai atatumia kiwembe kumnyoa rais ssh.

..ni vijembe tu vya kuchangamsha majukwaa hakuna haja ya kuvitilia maanani.
 
Unakuta vifaa vya kuassemble hayo magari na simatifoni vinapita kwenye bandari salama.
Tanzania tunakwama wapi "political Will" maana Nyerere alisema ili nchi iendelee inahitaji vitu vitatu÷Ardhi, Watu na siasa safi. Sasa Tanzania tunakosa siasa Safi ndio maana maendeleo tunaenda kuona kwa majirani tena nchi kama Rwanda iliyokubwa na mapigano ya kikabila. Mzee Mengi kabla hakafa alishasign mikataba Kama hiyo kuassemble magari na simu janja ila sijui hayo mambo yameishia wapi au ndio ile kauli ya Prof. Assad kuwa 60% ya viongozi/watumiaji wa umma ni vilaza
 
Back
Top Bottom