Libertatem Pugnator
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 1,006
- 1,377
Huyu mama simkubali lakini siwezi kutukana matusi ya nguoni. Hekima hainielekezi kufanya hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usisahau Bagamoyo kulikuwepo na ranch maalum kwa ajili ya Zanzibar. Ni swala la kuifufua tu! Tena itakuwa jirani na ya yule rais mwingine!
Pilot ya nini tena mkuu, kuunganisha vipande vilivyotayari kuunganishwa unataka tena pilot ya nini?Hivi tayari wameshayaingiza sokoni au bado yako kwenye pilot phase tu ?
Nawe unasapoti matusi ya jamaa yako hapo juu kumuita Samia Kahaba?Pilot ya nini tena mkuu, kuunganisha vipande vilivyotayari kuunganishwa unataka tena pilot ya nini?
Kila kitu kinaletwa ndani ya boksi, kinaunganishwa hapohapo kwenye karakana, gari inatoka, huna shida tena ya kusema ufanye utafiti hapa wala pale juu ya kitu chochote.
Sawa kabisa. Kumbukumbu zako zipo vyema. Hayo ni maelfu ya maekari mkuu. Kuchonga ekari 50 kwa mama haiwezi kuwa shida yoyote...kama kumbukumbu zangu ziko vizuri, ranchi ya makurunge, iliyokuwa ya smz, magufuli alimpa mzee bakhresa aanzishe shamba na kiwanda cha miwa.
Bei yake zinaenda ngapi mkuu ?Pilot ya nini tena mkuu, kuunganisha vipande vilivyotayari kuunganishwa unataka tena pilot ya nini?
Kila kitu kinaletwa ndani ya boksi, kinaunganishwa hapohapo kwenye karakana, gari inatoka, huna shida tena ya kusema ufanye utafiti hapa wala pale juu ya kitu chochote.
Duuh
Mkuu unatukana sana....
Naomba tafadhali usinihusishe na mambo ya nmna hiyo. Sikubaliani na anayofanya huyu mama kwa ustawi wa Tanzania, lakini sitaki uniingize kwenye upuuzi kama huo.Nawe unasapoti matusi ya jamaa yako hapo juu kumuita Samia Kahaba?
Pua ndefu na n'gombe zao tayari wameisharudi Tanzania kama kawaida...jamaa aliyekuwa anawakomalia kahamishiwa huko kwa wamakonde! TAnzania raha sana!Sawa kabisa. Kumbukumbu zako zipo vyema. Hayo ni maelfu ya maekari mkuu. Kuchonga ekari 50 kwa mama haiwezi kuwa shida yoyote.
Lakini Magufuli kweli alikuwa chuma. Wale ng'ombe aliopewa, hata sijui kama alitoa shukrani kabla hata hajawafurumusha wanyarwanda waliokuwa wamevamia hifadhi. Nadhani hiyo ndiyo ilikuwa sababu ya Bwana Reli (Kagame) kujifanya kama kazira!
Sasa sijui kama na huyu mama ataanza tena kufurahi na kupata anachotaka Tanzania.
Hili jambo huwa ninaliwaza sana na kunikosesha raha.CCM miaka na miaka hata kiwanda cha Peugoet 504 wameshindwa kuweka nchini huko wao ni kupambana na kila mpenda mabadiliko..
Tumebaki kusema Mwanza ni kubwa kuliko Rwanda ila ndio Rwanda inapaa hivyo!
Kuna watu hawana adabu kabisa unawezaje kuongea matusi kwa mtu mzima kama huyo hata kama asingekuwa Rais.Inasikitisha sana....
Wana 'assemble' sio kutengeneza.Hawa jamaa wanatengeneza VW sikujua....
tunahangaika kuagiza magari ya fahari mbali kumbe kwa jirani yapo..!!!?
I think I hv to make a trip to Kigari and grab one....
Kutukanwa sio moja ya sifa ya kiongozi.Ukiwa kiongozi lazima utukanwe, narudia Tena ukiwa kiongozi lazima utukanwe
Ukitaka usitukanwe basi Usiwe kiongozi
Duh mh mbunge mama salma kapanda na remba chini katupia heels dohYaleyale ya Vasco Da Gama kubembea mbugani huko ughaibuni on a state visit, fully funded kwa hela za wavuja jasho😀
View attachment 1878909
Anaupiga mwingi kwenye kujipendekeza kwa mabeberu...Kagame ingawa ni Dikteta sugu ila ana akili sana anawazidi kwa mbali mno hawa marais wa East Africa. Wa pili ni Kenyatta...
Wengine hawa ni mwendo wa kudra za mwenyezi Mungu.
Ni watanzania wangapi wenye uwezo wa kunua gari 0km? Wenye uwezo huo waagiza kutoka popote pale,naamini hata hayo magari ya twanda yapo kwenye barabara zetu pia,ila ni kwa uchache sana,uchumi wetu bado ni wa mitumba.Maendeleo makubwa yanayofanywa na NDUGU ZETU RWANDA.....
Badala ya kuagiza Volkswagen kutoka nje,watanzania tuanze kuziagiza kutoka RWANDA ili tuendelee kuimarisha chumi za nchi zetu.......
#KongoleMh.SSH
#SiempreUhusianoWetuNaRwanda
#SisiNiWamoja
#NchiKwanza
#KaziIendelee
Wakati mwingine kumbe mnatafuta matusi kwa lazima!? CDM Inaingiaje hapa kwa maoni ya mtu mmoja? Konokono wewe.Hawa ndiyo wanachadema, hawana adabu kabisa
Mtasifu sana,lakini huko kote ni takataka tu.Kagame ingawa ni Dikteta sugu ila ana akili sana anawazidi kwa mbali mno hawa marais wa East Africa. Wa pili ni Kenyatta...
Wengine hawa ni mwendo wa kudra za mwenyezi Mungu.