volkswagen

Volkswagen (German: [ˈfɔlksˌvaːɡn̩] (listen); English: ), shortened to VW (German: [faʊ̯ ˈveː] (listen)), is a German automaker founded in 1937 by the German Labour Front, a Nazi labour union, and headquartered in Wolfsburg. It is the flagship marque of the Volkswagen Group, the largest automaker by worldwide sales in 2016 and 2017. The group's biggest market is in China, which delivers 40% of its sales and profits.Volkswagen translates to "people's car" in German. The company's current international advertising slogan is just "Volkswagen", referencing the name's meaning.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Ushauri wa kununua Volkswagen Golf ya diesel

    Nataka kununua Volkswagen Golf ya diesel (2.0 TDI GT DSG) ya mwaka 2007 ya Uingereza. Naombaeni ushauri kwa ambaye ana ujuzi wa gari hizi haswa kwenye upande wa maintanance na changamoto zake kama imezidi 120K miles. Je ni reliable na nnaweza nikawa nnasafiri nayo masafa marefu?
  2. fenisher

    Service Parts For European Cars: BMW, Land Lover, Porsche, Volkswagen, And Audi at Molas Solution

    MOLAS Autohub ni duka la rejareja la ndani ambalo huhudumia jamii ya karibu kuhusu vipuri na pia kutoa huduma za kuagiza mtandaoni. Tuna utaalam wa kuuza Sehemu za Magari za Uropa kuanzia Mwili, Injini, Kusimamishwa, Mfumo wa Mafuta, Mfumo wa Radiator, Breki na Vichungi n.k. Hivi ni vya Genuine...
  3. S

    Ipi ni bora kati ya Subaru forester (Isiyo na turbo) na Volkswagen Tiguan, zote za 2010?

    Habari wakuu, Utamshauri mtu anunue gari ipi kati ya gari hizo mbili kwa kuzingatia vigezo vya mazingira ya miundombinu ya barabara zetu, hali ya kiuchumi (kipato cha kati) na upatikanaji wa mafundi wa kueleweka na vipuri. Subaru forester Volkswagen tiguan
  4. Sky Eclat

    Unafahamu kuwa Volkswagen walitengeneza technology ya kujitengenezea kahawa ndani ya gari?

    Sababu kubwa ni kuwa magari hayakua na heating system. Ukisikia baridi ndani ya gari ukiweza kutengeneza kikombe cha kahawa ili kuongeza joto la mwili. Hii technology ilikufa walipoweza kuweka heater kwenye magari.
  5. franktemu123

    Volkswagen Golf - Mkombozi wa Wanyonge!

    Ngumbaru na Wazalendo wenzangu hii ndo gari ya kumilik Kama Una hela ya mawazo Kama Mimi. Bei nafuu, mafuta inanusa na Spea bwerere.
  6. Shujaa Mwendazake

    Picha: Rais Samia akiwa kwenye kiwanda cha Volkswagen nchini Rwanda

    Rais Samia Suluhu Hassan, akiwa na mwenyeji wake Rais wa Rwanda Paul Kagame, baada ya kumaliza ziara ya kutembelea kiwanda cha kisasa cha magari ya Volkswagen kilichopo Kigali Special Economic Zone chenye uwezo wa kutengeneza magari aina 6 tofauti.
  7. M

    Msaada wa hii show ya Volkswagen polo

    Naitaka hii show alikuenayo plz anicheki ni ya Volkswagen polo batan zote zinafanya kazi issue tu show imevunjika njoo inbox fasta kama kuna muuza speak aje. Anaijua Bei yake.
  8. Extrovert

    Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

    Hii gari bana kila nikiiona inanipa hasira sana za kutafta hela wazee ni gari flani ambayo ni sort of a cross over SUV ila design yake imekaa makini sana kwa picha inaonekana ndogo ila in reality its a huge machine. Nimeiweka kwenye wishlist yani ikatokea siku nimepiga mshindo tu imma cop this...
  9. JF Member

    2008 Volkswagen Tiguan Track and field

    Wadau naitaka hii gari. Mimi ni mpenzi wa SUV.. Yaani gari zingine huwa sitaki kusikia kabisa. Wenye uzoefu na hii gari. Mnisaidie maswali yafuatayo. 1. Upatikanaji ya Spare zake hapa bongo. 2. Uimara wake hasa kwenye njia za makorongo.
  10. The Evil Genius

    Kati ya Volkswagen Touareg na Harrier macho ya panzi ipi gari nzuri hapa?

    Habari wakuu. Nataka kununua gari, naomba mawazo ya uzoefu kati ya Harrier macho ya panzi na Vokswagen Touareg ni ipi nzuri ya kuchukua. Sina uzoefu wowote wa magari ya Volkswagen. Natanguliza shukrani.
  11. kidadari

    Naomba ufafanuzi wa gari aina ya Volkswagen Polo

    Haka kagari VW Polo 2007 nimekakubali sana sana kwanza cc 1300, millage 34k/km speed 220km/h pia kodi yake TRA(TRA CALCULATOR) ipo chini around 5m Naombeni ushauri hukusu changamoto za hii gari kabla sijaivuta.
  12. Kilahunja

    Msaada wa volkswagen touareg 3.0 td1 v6 diesel

    volkswagen touareg 3.0 td1 v6 diesel Wakuu poleni na majukumu, nataka kununua hii gari hivyo naomba ushauri wenu kwenye haya mambo. 1. Matumizi ya mafuta(inatumia lita ngap kwa km). 2. Upatikanaji wa vifaa vyake vya kufanyia service ( diesel filter na oil filter ) ikiwezekana na bei yake. 3...
  13. kayanda01

    Mnaomiliki na kutumia Volkswagen 'chuma ya mjerumani' ni gereji zipi mnafanyia service & repair? Popote pale nchini

    Kwa kuzingatia viwango vya safety, stability, comfortability, inaonekana wazi kabisa kuwa watu wengi wanatamani sana kumiliki magari ya Ulaya. Lakini wanaogopa kuyamiliki kwasababu kuu tatu: - Uhaba wa mafundi/garage for European cars. - Uhaba wa spea (kupata spea ni shida, sometimes...
  14. Huntsman

    Agiza spea za Magari ya Ulaya aina zote hapa kwa bei nafuu

    habari wakuu? Ninajihusisha na uagizaji wa Spea za magari ya Ulaya... Kwa muhitaji yeyote anaweza kuni PM au akacomment hapa nitakusanya request kisha nitareply kwa Bei zetu. Bei ni nafuu na spea ni Original Kwa sababu ya changamoto ya mtaji hatuna stock bali tunaagiza moja kwa moja Ulaya kwa...
  15. nentewene

    Naombeni ushauri hapa ipi nichukue kati ya volkswagen up na passo?

    Habari wakuu, nilikua napenda kuchukua hii german car , volkswagen up ya 2012- coz ina cc ndogo(1000) pia nimependa muonekano. wasiwasi sijawahi ziona bongo kwahiyo sinahakika kama mafundi wako vizuri kweny hivi vigari. Naomba ushauri wenu au nipambane na Passo tu?
Back
Top Bottom