Camp Gilgal
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,453
- 4,595
Ha ha ha! Aya bhana.Acha kuhemka mkuu! Obama yuko vizuri sana,wamarekani kwa sasa wanatamani aendelee muhula mwingine kutokana na yale afanyayo kwao yenye kugusa maisha yao moja kwa moja. Usimfananishe na Vasco Da Gama unakosea sana