Picha: Rais Obama akikimbia kuwahi ndege

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
8,369
8,072
ImageUploadedByJamiiForums1454658550.417275.jpg
 
Huyu Prezda yupo simple mbaya kabisa.....Kama katiba na sheria inaruhusu angekuja kugombea TZ atuongoze hata kwa muhula mmoja..
 
utumwa wa mawazo bado umekuandama.
Kila kitu unajiona huwez kufanya pasipo mzungu
 
Huyu Prezda yupo simple mbaya kabisa.....Kama katiba na sheria inaruhusu angekuja kugombea TZ atuongoze hata kwa muhula mmoja..
Obama & JK hawatofautiani; Ni wana diplomasia wazuri lakini kwenye maamuzi ya kiutendaji ni tatizo. Kama ilivyokuwa kwa JK, Obama kashindwa kutimiza ahadi kibao wakati muda wake unaisha. Usitegemee jipya! Anaongoza Taifa ambalo lina misingi imara tayari!
 
Binadamu mnadaganyika kirahisi kweli hii yote ni show tu lkn mambo ya muhimu kwa nchi yake hakuna hata moja alilotimiza, huyu jamaa amekuwa failure klk hata George Bush na Wamekani wameshamchoka!
kama mwenyekiti wa chama chetu cha majipu vile, eti
 
Huyu Prezda yupo simple mbaya kabisa.....Kama katiba na sheria inaruhusu angekuja kugombea TZ atuongoze hata kwa muhula mmoja..

Ni kinyume kabisa na yule aliyetuaga juzijuzi
 
Obama & JK hawatofautiani; Ni wana diplomasia wazuri lakini kwenye maamuzi ya kiutendaji ni tatizo. Kama ilivyokuwa kwa JK, Obama kashindwa kutimiza ahadi kibao wakati muda wake unaisha. Usitegemee jipya! Anaongoza Taifa ambalo lina misingi imara tayari!

Acha kuhemka mkuu! Obama yuko vizuri sana,wamarekani kwa sasa wanatamani aendelee muhula mwingine kutokana na yale afanyayo kwao yenye kugusa maisha yao moja kwa moja. Usimfananishe na Vasco Da Gama unakosea sana
 
Back
Top Bottom