Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,570
- 8,328
- Thread starter
- #61
unacomment kwa hisia zako tu! kwa taarifa yako hata obama ishawahi kumuacha akiwa mjini chicago alipochelewa kwenye game ya chicago bulls ikabidi marine one helicopter ndo imbebeMkuu,
Tafadhali hapo kwenye taarifa ulizopata kutoka States kuwa Rais akichelewa ndege inamuacha sidhani Kama uko sahihi. Hiyo ndege inaitwa Airforce One pale tu Rais anapokuwa ndani ya hiyo ndege. Na kuna Helicopter inaitwa Marine One huwa anaitumia Rais kwa misele yake ya kawaida. Obama huwa ana hulka ya kukimbia, na huwa anafanya hivyo mara kwa mara na sio kwamba hapo alikuwa anakimbia kwa kuwa amechelewa ndege. Usitupotoshe washamba mkuu. Hiyo ndege haiwezi kumuacha Rais popote hata Kama amechelewa. Kwanza kwao kuchelewa haiko kwenye Msamiati labda itokee dharura nje ya uwezo wa kibinadamu.