Obama ametengeneza mazingira mazuri ya kuzaliwa kwa vikundi vya magaidi na kuongezeka kwa radicalization duniani. Ametengeneza vacuum kwa vikundi vya uasi kuanzia Nigeria, Libya, Syria na kwingineko. Hilo halina ubishi.
Wanaangusha serikali bila kuwa na plan ya kuwezesha serikali mpya kuingia na kukaa sawa matokeo yake wanaingia waasi kwenye hiyo nafasi.
Amezidisha tension iliyopo kati ya US na Russia.
Sera zake za nje nyingi zime backfire...... amezorotesha uchumi wa Ulaya kwa vikwazo vya uongo ulaya dhidi ya Russia.
Anatapatapa kuihujumu China na Russia ambapo kwa wakati kama huu mambo yalivyo huko middle East ingekuwa vigumu mafuta kushuka bei ingawa kwa nchi za kawaida ni faida ila sio lengo lake; nia yake ni nikujaribu kuona kama inawezekana kuyumbisha uchumi wa nchi hizo kupitia kuporomoka kwa bei ya mafuta hasa Russia ambayo asilimia kubwa ya uchumi wake unategemea kuuza nishati nje.
Wachina wamewekeza sana Nigeria kwenye mafuta.... alipomuangusha Ghaddaf akajidai anapambana na magaidi kumbe anavunga tu lengo ni kuwa wasambae hadi Nigeria ili kuzorotesha investmejts za kichina.
ona alichokifanya Syria. Anapiga mabomu jangwani waasi wanaendelea matokeo yake imezaliwa ISIS na pia ona sasa hili balaa la wakimbizi wanaokwenda Ulaya.
Europe is sinking
Huyu jamaaa muongo sana