Tusubiri longolongo kwenye hotuba yake ya mwisho wa mwezi, utasikia mengi sana zaidi ya kupanda farasi.
Ila naona kama hii ziara ya Canada ni kama vile Rais wetu ameilazimisha? Hivi na nani yule (anawadhifa gani) aliyemtambulisha Rais wetu kwa Waziri wa Mambo ya nje wa Canada? Anaweza kuwa Mh.Diwani wa kata fulani katika wilaya ya mojawapo ya mikoa ya huko Canada!!
Hivi inakuja akirini kweli - aje Mfano, Rais Kagame, Museveni, Kiabki au yeyote katika ziara ya kitaifa, apokelewe (sijui na nani) halafu huyo aliyempokea (sijui ni huyo huyo) ndio amtambulishe Rais kwa Benard Membe, halafu sijui ndio apelekwe kwa Meya - Masaburi, yaani hapo bado hajakutana na Waziri mkuu na Rais wa Canada (wakuu wa serikali ya Canada - kama wapo)? au Mie sielewi Protocal? Nani alimpokea rais wetu huko Kanada?
My thought: Nahisi Rais wetu aliokotwa mitaani anazurura hovyo mitaa ya Canada, ndio wakamuokota, na protocal kuanza! Haiwezekani Rais wa nchi atambulishwe kwa waziri wa mambo ya nje na mtu fika tu,