View attachment 67226Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea jezi toka kwa Waziri Mkuu wa Canada Mhe Stephen Harper katika jengo la Bunge la Seneti
mlitaka afanyaje,kwa mfano utamaduni wao canada ni lazima mgeni wao apande farasi,mlitaka aseme sipandi mie watanzania watasema,tuache mawazo hasi wakuu,si kila jambo ni kuponda tu,mlitaka asikague gwaride? asipeane mkono,?Ndio alichoenda kufanya huko kupewa heshima na kupanda farasi, Rais kweli tunae na tuna safari ndefu sanaaaaa
Mkuu kama we uko dar, utashangaa barabara ya ubungo kimara ilikuwa imara ikabomolewa badala y akupanua na kutengeza nyingine, badala ya kutatua tatizo sa ivi tatizo ni kubwa. Mungu angejua haya si ange wapa akili ya kufanya mazuri badala ya kutaabisha wakazi wanao tumia barabara hiyo? anvoninginia kwenye huo mkokoteni utadhani kaacha nchi salama!
anapendeza kweli...
Na kweli tumeshakoma kumjua ******, mara bembea Brazil, mara farasi Canada, hivi huyu hajui kilichomuondoa Mfalme wa Ethiopia ni watu wake kuambiwa wanakufa na njaa mke wake akawajibu kama hawana mkate si wale keki? Kuna tofauti gani na huyu ****** mbele ya walala hoi wa Tanganyika?
Rais wangu Jakaya Kikwete akitalii mitaa ya wenzetu akiwa kwenye farasi baada ya kazi ngumu ya kiserikali,ama kweli anazidi kuweka record ya waliomtangulia kwa kula bata
View attachment 67237
Rais wangu
Jakaya Kikwete akitalii mitaa ya wenzetu akiwa kwenye farasi baada ya
kazi ngumu ya kiserikali,ama kweli anazidi kuweka record ya
waliomtangulia kwa kula bata
View attachment 67237
ndio alichoenda kufanya huko kupewa heshima na kupanda farasi, rais kweli tunae na tuna safari ndefu sanaaaaa