TOWNSEND
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 2,598
- 460
hata muhindi hapa nchini anaweza kukubeba mabegani kama wewe ni purchasing manager kwenye taasisi kubwa hapo usishangae hata kulabwa miguu wazungu watalamba ya jk umesahau migodi ya barric wenyewe wapo huko cnd?![]()
amenikumbusha idd amini aliposhika dola akawashikisha adabu wazungu kumchukua mzegamzega, hapa wazungu pekee wanamvuta kikwete kwenye farasi. Duh, hujaumbwa hujaumbika.