Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,396
- 7,968
RIP dada Regia...
Kikwete ni muungwana sana yanapokuja masuala ya kijamii, I like him. Ila kwa usahihi ungesema Mbowe aongoza maombolezo, Kikwete ahudhuria. Kumbuka Dr Kikwete alishatoa salam za rambirambi kwa Mh Mbowe. Hapa wale mnaochukulia mambo ya siasa personal mna nafasi nzuri kujifunza hapa kuwa nje ya siasa sisi wote ni ndugu.