Picha - Polisi Morogoro Nguvu yote hii ya nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha - Polisi Morogoro Nguvu yote hii ya nini?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Candid Scope, Aug 28, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Aug 28, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  Mkuu wa Operesheni Sangara-Vuguvugu la Mabadiliko (M4C) BENSON KIGAIYA akiwa chini ya ulinzi wa Polisi wa FFU 5 huku wengine wakinyatia kwa pembeni, akiambulia makofi ya mgongo na makalio.
   
 2. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #2
  Aug 28, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  Kulinda raia na silaha za vita
   
 3. N

  Njele JF-Expert Member

  #3
  Aug 28, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wanataka kumridhisha kaisari
   
 4. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #4
  Aug 28, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 399
  Trophy Points: 180
  Iko Siku
   
 5. ZENITH

  ZENITH JF-Expert Member

  #5
  Aug 28, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 692
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  Hivi mutu ikiwa askari mubongo yake mukichwa inakuwangaje?
   
 6. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #6
  Aug 28, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,153
  Likes Received: 844
  Trophy Points: 280
  hawa kuwa na polisi wa kutosha hapa tunaona mtu mmoja ana kabiliana na watu 5..
   
 7. Maarifa

  Maarifa JF-Expert Member

  #7
  Aug 28, 2012
  Joined: Nov 23, 2006
  Messages: 2,537
  Likes Received: 782
  Trophy Points: 280
  Ni nyakati za mwisho!! ukiona nguvu zimezidi sana ujue upendo haupo. CCM wakubali matokeo hawapendwi tena wameoza. hata watumie marungu mwisho u tayari!! swali langu kwa Polisi mnapoamrishwa kuua wazazi wenu, watoto wenu dada zenu na kaka zenu na kwa furaha mnainua mabunduki na kufyatua kwa watu wasio na na hata manati mnajisikiaje? ke hao mnaowakwida kesho wanaingia ikulu je mtajisikiaje ama kweli mnakuwa kama roboti hamuwezi kutumia akilai kidogo tu!!~
   
 8. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #8
  Aug 28, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,164
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Huyu ***** analipwa na CHADEMA bei gani?kwa anayejua aniwekee info hapa gosh!
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  Aug 28, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,587
  Likes Received: 15,019
  Trophy Points: 280
  msiwalaumu hao askari wengi wao walifoji vyeti kwa hio wanatelekeza a,ri za mabwana zao.. Tunachotakiwa kufanya ni kuwaondoka mabwana zao kupitia sanduku la kura
   
 10. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #10
  Aug 28, 2012
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 9,576
  Likes Received: 1,490
  Trophy Points: 280
  Hapo ndo wanajenga chuki zaidi dhidi ya wananchi
   
 11. KIJOME

  KIJOME JF-Expert Member

  #11
  Aug 28, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 3,075
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Nawachukia policmagamba,hata kama wametumwa na waume zao ila wajue mapambano haya ni pamoja na ukombozi wa watoto wao na wao wenyewe dhidi ya huu udhalimu wa ccm manyang'au!!!
   
 12. Mnama

  Mnama JF-Expert Member

  #12
  Aug 28, 2012
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 1,454
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160
  Ha haaaa waoga sana hawa ukimkamata mwenye lazima akuamkie shikamoo hapo wana nguvu kwa sababu wako wengi ,kwanza wengi ni walevi wa changaa wamechoka.
   
 13. z

  zamlock JF-Expert Member

  #13
  Aug 28, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,850
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  upuuzi sasandona amini jeshi lapolisi walio wengi uwezo wao wa kufikili nimdogo sana
   
 14. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #14
  Aug 28, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,003
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  hiyo ni credit kwa movement yeyote...wanaongeza chuki kwa wapigania haki wa nchi....ipo siku,nasema ipo siku watanzania watasema liwalo na liwe ndo watatutambua sisi ni nani huko mtaani...viva chadema,viva M4C....RIP kijana usie na hatia...
   
 15. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #15
  Aug 28, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 6,955
  Likes Received: 744
  Trophy Points: 280
  Kweli polisi wa Tanzania hamnazo! Yaani mtu mmoja polisi 8????
  [​IMG]
   
 16. piper

  piper JF-Expert Member

  #16
  Aug 28, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 3,260
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  ???????????????????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 17. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #17
  Aug 28, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,981
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Polisi wa Tanzania wamelaaniwa ndo maana wanaishi kwenye nyumba za mabati na wameridhika
   
 18. m

  mukama talemwa Senior Member

  #18
  Aug 28, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 161
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  suala siyo pesa kwenye hili,kwani mandela alikuwa analipwa ngapi,nyerere wakati akipigania uhuru alikuwa analipwa ngapi?nahisi kina kitu kwenye kichwa chako siyo bure.wewe pesa ndiyo unadhamini kuliko mambo mengine?
   
 19. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #19
  Aug 28, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 21,279
  Likes Received: 3,950
  Trophy Points: 280
  8 heavily armed policemen for one unarmed suspect? Incredible use of taxpayers money!

  [​IMG]
   
 20. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #20
  Aug 28, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,659
  Likes Received: 317
  Trophy Points: 180
  Mara nyingine polisi wetu naona kama wanakosa reasoning kabisa..yaani mtu akitumwa anachojua ni kile alichotumwa tu bila any reasoning..imagine polisi zaidi ya 8 mnamkamata mtu mmoja. Tena mtu mwenyewe anakubali kukamwatwa bila hata shida lakini wanatumia nguvu nyingi pamoja na kipigo utafikiri wanapiga mwizi..huu nu ukosefu mkubwa wa reasoning kwa jeshi la polisi..tena hii inasababisha wakose wale watu wazuri kama jeshi lenyewe ndio hili..
   
Loading...