Picha - Pinda - Nchimbi - taswira huongea zaidi

Picha - Pinda - Nchimbi - taswira huongea zaidi

Candid Scope

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
11,897
Reaction score
6,933
pinda.jpg
 
mara nyingi pinda anaoneka kutumia nguvu nyingi kuu-convice umma juu ya utekelezaji wa ilani ya ccm usoaminiwa na walio wengi. pole sana mzee wangu,kazi unayo!
 
wengi wanadhani Pinda ametatua tatizo hili la mtwara ila ukweli ni kwamba Pinda ameenda Mtwara kuchochea moto mkubwa bila yeye mwenyewe kujua, na hii ni kutokana maneno ya uongo ya kujidai kuwa amewashirikisha wananchi na wamemuelewa na kukiri kuwa serikali ilikosea ila at the same time anadai kuwa wanasiasa ndiyo chanzo cha mgogoro huu.
Hii safari ya Pinda Mtwara italeta maangamizi makubwa zaidi ya awali.
 
binafsi naamini pm huenda yeye hausiki kwenye kuinflate gharama za ujenzi wa bomba (japo sio rahisi kumuuamini mwana ccm hasa kwenye mambo ya 10%) lakini mamjamaa yakishaona yameshikwa pabaya yanamtuma akatulize soo. hata issue ya katibu wa nishati na madini alijisemea masikini kuwa 'angelikuwa na meno' angemaliza lakini akaishia kudhalilishwa.
 
Macho ya Pinda yanaonekana mekundu kwaajili yakuzoea kulia jamani!
 
Wanakula per dm hao tu hawana jipya kama kweli wangefanaya palee uwanjani kwetu wakakiona cha moto
"uchawi sio kuroga mchana ajaribu usiku"
 
Hivi mkulu ishu ya MADAKTARI uliimaliza???

pinda.jpg
 
Hivi mkulu ishu ya MADAKTARI uliimaliza???

pinda.jpg

Tukio la kuuawa mwandishi wa Channel 10 Daud Mwangosi na kisha Nchimbi kuunda kamati feki kujilinda, baadaye watetezi hazi za binadamu kulifikisha suala hilo na mengine kwenye mahakama ya dunia naona Nchimbi amenyong'onyea sana siku hizi. Hata kile alichozungumza na waandishi wa habari Iringa kwamba hawezi kujiuzuru kwa kuwa hawawezi kumpata waziri mzuri kama yeye anajutia kuongea. Maana naona anajiona yeye ni mzuri sana.
 
Hawa viongozi wetu ni wazuri wa kutoa matamko tu...
Ishu huwa inakuwa kwenye utekelezaji hapo ndio utaona longolongo nyingiii...
Bado nitaendelea kuwa na hii kumbukumbu daima kichwani kwangu, nakumbuka namna John S. Malecela enzi za uongozi wake miaka ya 90 alipotoa ahadi kwamba kabla ya muhula wake kuisha, Dar kutakuwa na City train(s), lakini hakuna kilichotendeka hadi hii juzi juzi Mwakyembe alipokuja kuzindua hilo gogo la TRL na TAZARA...

Tukio la kuuawa mwandishi wa Channel 10 Daud Mwangosi na kisha Nchimbi kuunda kamati feki kujilinda, baadaye watetezi hazi za binadamu kulifikisha suala hilo na mengine kwenye mahakama ya dunia naona Nchimbi amenyong'onyea sana siku hizi. Hata kile alichozungumza na waandishi wa habari Iringa kwamba hawezi kujiuzuru kwa kuwa hawawezi kumpata waziri mzuri kama yeye anajutia kuongea. Maana naona anajiona yeye ni mzuri sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom