Picha: Nyumba kali ya Mwl Mkuu Itilima; ''Mama hatumdai''

Picha: Nyumba kali ya Mwl Mkuu Itilima; ''Mama hatumdai''

Tukosoe kwa hoja si kishabiki

Mwalimu akiishi kwenye nyumba kama hiyo, ni upumbavu wake

Hata wapishi wa shule hawaishi kwenye kibanda kama hicho

Hela ya posho anayopewa 250k pekee akiamua awekeze miaka miwili tu anapata sehemu nzuri ya kujistiri kwa maisha ya kijijini

Pia ana fursa ya mikopo

Tumkosoe SSM kwa mengine ila sio hilo
Yaani mwalimu aamue kujenga nyumba ya kuishi kijijini huko alipopangiwa kufanya kazi muda wowote anaweza kuhamishwa.
Huko bariadi itilima walimu wanaishi nyumba kama hizo wengi wapo na mishe za uamisho .
Kama wameweza kujenga shule kwa nini wanashindwa kujenga nyumba nzuri za kuishi walimu.
Wote wanaosema sijui huyo samia hadaiwi ni wanafki
 
Tukosoe kwa hoja si kishabiki

Mwalimu akiishi kwenye nyumba kama hiyo, ni upumbavu wake

Hata wapishi wa shule hawaishi kwenye kibanda kama hicho

Hela ya posho anayopewa 250k pekee akiamua awekeze miaka miwili tu anapata sehemu nzuri ya kujistiri kwa maisha ya kijijini

Pia ana fursa ya mikopo

Tumkosoe SSM kwa mengine ila sio hilo

Unaongea kama mwalimu amezaliwa na kukulia hapo na atakufa hapo.

Wewe ukipangiwa hapo kazi kama mwalimu mkuu, utaanza kukusanya pato lako ujenge hapo. Kesho ukihamishwa sehemu nyingine utajenga ngapi kazi unapangiwa na mwajiri?

Nani anatakiwa kuweka mazingira wezeshi kwa eneo husika la kazi?

Wakati wengine kila mwaka mnawabadilishia aina za magari ya gharama kubwa na furniture mpaka kwa wastaafu. Kwa nini hamuwafikirii wanaoandaa warithi wa taifa letu?

Tunawafanya walimu wawaambukize msongo wa mawazo walionao kutokana na muenendo wa maisha(emotional contagion or second-hand stress/stress projection), wanafunzi wao kesho tukiwa na taifa la ajabu kila mtu anashangaa imekuwaje?

Nyinyi wenu wako St. XY!!!??

NB: Tukubaliane, kama glasi/bilauri ina maji nusu yake. Nikichagua kusema glasi ina maji nusu ni sawa na anaesema glasi haina maji nusu ni sawa.
 
Kwa ujumla walimu wengi wanaishi kwenye za slope na tembe mkoani humo ila mama hatumdai chochote. Mitano tena kwake.
 
ihiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii bhangoooooooooooooooooooooooooooshhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Tukosoe kwa hoja si kishabiki

Mwalimu akiishi kwenye nyumba kama hiyo, ni upumbavu wake

Hata wapishi wa shule hawaishi kwenye kibanda kama hicho

Hela ya posho anayopewa 250k pekee akiamua awekeze miaka miwili tu anapata sehemu nzuri ya kujistiri kwa maisha ya kijijini

Pia ana fursa ya mikopo

Tumkosoe SSM kwa mengine ila sio hilo
Duuu aisee hata akijibana anaweza jenga shule
 
Kama huyo Mwalimu analipwa mshahara na amekubali kuishi kwenye nyumba hiyo basi yeye ni mwendawazimu au hajitambui.
 
Huyu mwalimu anaeishi humo hajitambui aise .Akili yake inamatatizo
 
Tukosoe kwa hoja si kishabiki

Mwalimu akiishi kwenye nyumba kama hiyo, ni upumbavu wake

Hata wapishi wa shule hawaishi kwenye kibanda kama hicho

Hela ya posho anayopewa 250k pekee akiamua awekeze miaka miwili tu anapata sehemu nzuri ya kujistiri kwa maisha ya kijijini

Pia ana fursa ya mikopo

Tumkosoe SSM kwa mengine ila sio hilo
Ni hoja nzuri, lakini atajengaje wakati pengine huko sio kwake?.....kwa hiyo atumie mshahara wake ili kupandezesha kazini kwake?

otherwise kama ameipenda hiyo, sehemu na atastaafia hapo. au, kama ni sehemu potential ambapo nyumba huuzwa ghali, akiamua kuhama sawa awekeze tu.

wajengewe makazi mazuri, kama utaratibu.unavyosema.
 
Nyumba ya Mwalimu Mkuu, Shule ya Msingi Dasina, Kata ya Nkoma, Jimbo la Itilima Mkoa wa Simiyu.

Hakika Mama Hatumdai ila yeye ndio anaeyetudai..
 
Back
Top Bottom