In meanwhile Waziri ambaye ana mshahara mkubwa na posho zaidi ya 250k anapewa gari nyumba na incentives zingine?Tukosoe kwa hoja si kishabiki
Mwalimu akiishi kwenye nyumba kama hiyo, ni upumbavu wake
Hata wapishi wa shule hawaishi kwenye kibanda kama hicho
Hela ya posho anayopewa 250k pekee akiamua awekeze miaka miwili tu anapata sehemu nzuri ya kujistiri kwa maisha ya kijijini
Pia ana fursa ya mikopo
Tumkosoe SSM kwa mengine ila sio hilo
Kuna watu ni wapotoshaji kama Chadomo?
Nyumba ya Mwalimu Mkuu, Shule ya Msingi Dasina, Kata ya Nkoma, Jimbo la Itilima Mkoa wa Simiyu.
Hakika Mama Hatumdai ila yeye ndio anaeyetudai..
Kamjengee wewe, we ngedere endelea kuokoteza vipicha vyako havitamrudisha Rais nyuma. Hiyo itakuwa nyumba ya babako. Majengo ya shule yako wapi hapo? We bi bwege flani tu
Nyumba ya Mwalimu Mkuu, Shule ya Msingi Dasina, Kata ya Nkoma, Jimbo la Itilima Mkoa wa Simiyu.
Hakika Mama Hatumdai ila yeye ndio anaeyetudai..
Propaganda kama za John Heche hizi😂
Nyumba ya Mwalimu Mkuu, Shule ya Msingi Dasina, Kata ya Nkoma, Jimbo la Itilima Mkoa wa Simiyu.
Hakika Mama Hatumdai ila yeye ndio anaeyetudai..