dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,955
- 9,527
Muhimbili kimefanyika nini kigeni? Nidhamu gani unayoongelea iliyoko Serikalini...wee kariri siku ukiamua kuutafuta ukweli utakuwa umechelewaMambo ambayo Magufuli ameyafanya muhimbili nayo hamyaoni? Angalia kwenye huduma za afya nchini angalia nidhamu kazini kwa watumishi. Najua strategy ya upinzani ni kupindisha mafanikio ya Magufuli ili aonekane mmbaya kwa wananchi na matokeo yake Lowassa ndio aonekane mwema.