hahahaa itakuwa kama ile movi ya the gods must be crazyyHakuna wa kupanda hayo mapanga shaa.hivi kwa mfano panga limekatika au kugoma kuzunguka juu si litaua watu?.hayo mapanga hapana kwa kweli
hahahaa itakuwa kama ile movi ya the gods must be crazyyHakuna wa kupanda hayo mapanga shaa.hivi kwa mfano panga limekatika au kugoma kuzunguka juu si litaua watu?.hayo mapanga hapana kwa kweli
Kwa akili yako wewe CV ni yule Makaratasi? Kikubwa kinachukuuma labda huyo Jamaa aliyeteuliwa siyo wa chama chako. Acha watu wafanye kazi Acha majungu yako.Wee wawapi? CV ndio kitu gani...unayo habari walioua hii NCHI nihao mlioamini CV zao!
CV siyo katarasi. Kinachukuuma huyu Jamaa ametokea chama usichokipendana, ingekuwa ametokea ule upande wenu hule sasa hivi mngekuwa mnatoka povu kutetea. Mh. Raisi anajua nini anachokifanya. Huyo kindamba ni mtu wa kazi sana. Kaa chini subiri watu wafanye kazi.miTANGANYIKA nirahisi kuitawala sababu inaamini Maneno matupu...wakiona Pamflet ya CV wanadhani MTU anajua kazi![]()
![]()
Nyinyi siku zote ndio mlikuwa mnalalamika watu wanalipwa mishahara mkubwa, Mh. Raisi ameliona analifanyia kazi mnaanza kutunga mengine. Watu wa ajabu ajabu sana.Mkuu umetoa maelezo mengi lkn napenda kukujibu hapo mwisho kuhusu weledi wa Menejiment...Mhe,,alishatangaza hatalipa MTU mshahara unaozidi 15ml...hebu niambie kwa Mshahara huo utapata Menejiment gani ya maana yakuendesha Shirika kwa Ufanisi matokeo yake ndio hivyo kuchagua makada Mpaka hapo bado unategemea jambo jipya? nyie mnadhani watu wanaichukia Serikali NO....inajitakia yenyewe!
Wee endelea na kejeli wanaume wanafanya kazi.watuachee sisi tupo na mapangaboi yetu
siyo wanaume tu hata viumbe vingine vina fanya pia.Wee endelea na kejeli wanaume wanafanya kazi.
Unaijua boarding pass mkuu?
Wao precision mbona route iko kama KawaHiyo ruti hainaga wateja. Connection za kibiashara (hata udugu) mza na kili/chuga na kdg sn nadhani.
Matatizo ya ATC hayana uhusiano wowote ule na siasa za ccm. ukiangalia lilipoanzishwa lilitumia wataalam wale wale waliotoka EAA ambako nako waliheshimiwa sana. Na waliporudi serikali ikawa inawategemea wao waliendeshe.Tatizo ATCL wanateuana kwasababu ya kuwa na kadi ya CCM.
Utaalamu unawekwa pembeni.
Pamoja na kuwa na jeuri ya fedha, UAE walimchukua Clark kuisimamisha Emirates ambayo leo ni moja ya shirika linalokuja kwa kasi sana duniani.
Walianza na mtaji wa $10Milion na ndege moja ya kukodi toka Pakistani mwaka 1985. Leo hii wana ndege walau 200+ na wapo kwenye destinations almost 150+.
Biashara ya ndege sio mchezo.
panga liki meguka angani lazima mpige mbizi kwa hewa![]()
HILI JINA LA MAPANGA SHAA LINANCHEKESHA SANA!Sijui kama biashara kuyumba ni sababu ya kubadili ndege kutoka A319 mpk E190,mi naona jamaa wanajiandaa kimkabili 'mapanga shaaa' a.k.a ATCL maana hizo ndege za sasa za fastjet A319 zinatua viwanja 4 tu Dar,mwanza,Kilimanjaro na mbeya(songwe),ila hizo E 190 zinaweza kwenda Bukoba,Arusha,Mtwara,Tabora,Kigoma,Musoma na Dodoma kwahiyo mapanga shaa wajiandae.
Kwaiyo kwa akil zako za maandaz izo ingekuwa ww ndo una dhamana ungetushushia Boeing na Airbus halafu zingetua ktk viwanja vingap hapa bongo, watu wanawaza mbal sana kuzid upeo wako wa kufikilia, pole sanawewe ndio utakuwa wa ajabu hivi tunashindwa hata na burundi? sisi na. mapanga shaa wenzetu kila kukicha vita lakini wana mijidege ya kubeba abiria 200 kichwa changu
sipotezi nguvu kukujibu hapa panatoshaKwaiyo kwa akil zako za maandaz izo ingekuwa ww ndo una dhamana ungetushushia Boeing na Airbus halafu zingetua ktk viwanja vingap hapa bongo, watu wanawaza mbal sana kuzid upeo wako wa kufikilia, pole sana
Hapa umeweka picha ya mfano, ama ndege yenyewe ndiyo hii kwenye picha?View attachment 405754 Kampuni ya ndege ya Fastjet imepanga kuingiza nchini ndege moja jamii ya Embraer 190 ili kukabiliana na hali ngumu ya sasa ya kibiashara.
Jana Mkurugenzi Mkuu wa kampuni hiyo, John Corse amesema ndani ya wiki mbili zijazo wataingiza ndege mpya katika safari zake ikiwa ni sehemu ya majaribio ya kutekeleza mkakati wa mabadiliko C&P MCL.View attachment 405750 View attachment 405751
Na Joburg ilitumika vizuri tu na mkakati mzima wa kuiua ili SAA wanunueMatatizo ya ATC hayana uhusiano wowote ule na siasa za ccm. ukiangalia lilipoanzishwa lilitumia wataalam wale wale waliotoka EAA ambako nako waliheshimiwa sana. Na waliporudi serikali ikawa inawategemea wao waliendeshe.
Adui yao namba moja ilikuwa kuwekeana vitina wao kwa wao. Mzee Rwebangira alipigwa vita na wenzake kwa sababu ya vyeo. Baada ya hapo wakaanza kuingizana kazini kirafiki/ndugu na mwishowe hao hao wafanyakazi ndiyo walikuwa abiria wakuu wa kwenda nje kununua bidhaa [hasa kina mama]. Kuna wengine walikuwa wanatumia muda mwingi kusafiri kwa shughuli binafsi kuliko kazini.
Ninakumbuka kisa kimoja -Nilisafiri na ATC kwenda J'burg na wakati nataka kurudi staff wa ATC Jburg wakaniarifu kuwa ndege yao imejaa ila ninaweza safiri na ndge ya SA. Mimi nilikataa na nikasisitiza kuwa nilikuwa na cfmd booking ya ATC lakini dada yangu huyo alishikilia kuwa ndege imejaa. ili kufupisha kisa hiki, mwishowe nilifanikiwa kurudi na ndege
ya ATC lakini cha kushangaza iliondoka na abiria karibu nusu tu na sehemu kubwa ilikuwa haina abiria.
Vitu kama hivi ndivyo na vinginevyo viliendelea kama cancer na mwishowe shirika limefika lilipofikia.