ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,864
Mkuu mbona unamuonea mwenzio hivyo.Unaijua boarding pass mkuu?
Mkuu mbona unamuonea mwenzio hivyo.Unaijua boarding pass mkuu?
Panapomajaliwa......Apendapo Mola...nk..nkUsitumie Inshaalah..kwa vitu vya kijinga
Hivi karibuni Fastjet biashara haikuwa nzuri operating cost ni kubwa sana ukilinganisha na wanachokipata wameamua kubadilisha business model ikiwamo kubadilisha aina ya ndege ,kupunguza route na kupunguza wafanyakaziSijui kama biashara kuyumba ni sababu ya kubadili ndege kutoka A319 mpk E190,mi naona jamaa wanajiandaa kimkabili 'mapanga shaaa' a.k.a ATCL maana hizo ndege za sasa za fastjet A319 zinatua viwanja 4 tu Dar,mwanza,Kilimanjaro na mbeya(songwe),ila hizo E 190 zinaweza kwenda Bukoba,Arusha,Mtwara,Tabora,Kigoma,Musoma na Dodoma kwahiyo mapanga shaa wajiandae.
Biashara ya aviation Tanzania inajulikana abiria bado ni wachache sana(domestic route) running cost za hii biashara ni kubwa sana ndio maana mashirika mengi ya Africa nzima except Ethiopian Airline yako hoiUsiamini sana kampuni inaposema imepata hasara mana huwa wanafanya hivyo wapate huruma ya kodi
Hiyo kweli haswa kwa domestic,maana uchimi wa tz haujakaa vzr mzunguko wa hela mgumu,umepelekea abiria kupungua,ila ujuo wa E190 kwa fastjet watagombania viwanja vingi na Precision pmj na 'mapanga shaa'Hivi karibuni Fastjet biashara haikuwa nzuri operating cost ni kubwa sana ukilinganisha na wanachokipata wameamua kubadilisha business model ikiwamo kubadilisha aina ya ndege ,kupunguza route na kupunguza wafanyakazi
Mheshimiwa amesema halipi MTU zaidi ya 15ml utampata Competent gani kwa HELA hiyo hao watu wa ccm hata wakipewa 1ml kwao nisawa ilimradi Fikra za Mwenyekiti zidumu....Nasikitika watu wanaopoteza muda wao wakiamini ETI..kwenye hii miaka 5 kuna chamno kitapatikana! Uzuri wa watanganyika walio wengi ni Rahisi kuwatawala sababu wanaamini Maneno matupu!Tatizo ATCL wanateuana kwasababu ya kuwa na kadi ya CCM.
Utaalamu unawekwa pembeni.
Pamoja na kuwa na jeuri ya fedha, UAE walimchukua Clark kuisimamisha Emirates ambayo leo ni moja ya shirika linalokuja kwa kasi sana duniani.
Walianza na mtaji wa $10Milion na ndege moja ya kukodi toka Pakistani mwaka 1985. Leo hii wana ndege walau 200+ na wapo kwenye destinations almost 150+.
Biashara ya ndege sio mchezo.
Inajua mapanga tu!Embraer 190, E190, Embrear 170, ya Brazil ni hottest cake... in aviation hasa ktk regional flights.. !! Yaani hiyo inaua biashara ya ndege za turbo props kabisa... na ni special for regional flights.. medium and short ranges..!!
Sijui kama Serikali yetu inajua hili..!!
View attachment 405764 View attachment 405766 View attachment 405769 View attachment 405764 View attachment 405766 View attachment 405769 View attachment 405770 View attachment 405771 View attachment 405771View attachment 405771 View attachment 405773
Wee wawapi? CV ndio kitu gani...unayo habari walioua hii NCHI nihao mlioamini CV zao!Tumia muda kidogo kusoma CV ya yule Jamaa wa TTCL kisha ndio utaelewa Magufuli yako serious.
miTANGANYIKA nirahisi kuitawala sababu inaamini Maneno matupu...wakiona Pamflet ya CV wanadhani MTU anajua kaziCv yake ina kipi cha maana, yan mtu alikua branch manager anaaenda kuwa acting CEO wa shirika kubwa kama TTCL...unadhani makampun makubwa kama vodacom, airtel na tigo wanavyoleta watu waliobobea kuja kua wakurugenz wa makampun yao ni wajinga..?

Tatizo mtu 1 kuamini anajua kila kituKuna mtu aliniambia nyie watanzania wa ajabu sana, hata siku moja hamuwez kujivunia chochote cha kwenu, mna tatizo gan, mnaweza hata kataa mlima kilimanjaro wenyewe mkasema uko kenya nyie wenyewe, there is nothing good for tanzanians instead they like being beggers only ther u will have many of them
Mkuu umetoa maelezo mengi lkn napenda kukujibu hapo mwisho kuhusu weledi wa Menejiment...Mhe,,alishatangaza hatalipa MTU mshahara unaozidi 15ml...hebu niambie kwa Mshahara huo utapata Menejiment gani ya maana yakuendesha Shirika kwa Ufanisi matokeo yake ndio hivyo kuchagua makada Mpaka hapo bado unategemea jambo jipya? nyie mnadhani watu wanaichukia Serikali NO....inajitakia yenyewe!Tunasahau kuwa Fastjet wameamua kuleta ndege ndogo baada ya "kulost".
Huu ni ushahidi kuwa ndege kubwa hazifai kwa safari fupi za ndani.
Na huu ni ushahidi dhidi ya wale waliokuwa wanalilia "tungenunua airbus kama za fastjet".
Ni lazima sasa kundi hilo likiri kua walipotoka. Na kuwa ndege ndogo na za kati ndo mpango mzima kwa safaei za ndani na sio zile kubwa.
Hata precission walichemsha na ile jet yao mapema sana.
Na vile vile kuna mashirika mengi sana ya ndege yanarusha hayo "mapanga shaa" na wabongo wanapanda...lakini kwa kuwa ni cha serikali ishakuwa nongwa...watu hao hao wanapanda panga shaa la ethiopiana kwa tabasam na raha tele na wanashuka JKNIA kwa swagger....lakini ya serikali matusi..
Na precission kila walivyokuwa wanaongeza "mapanga" mapya tuliwasifu sana.....na nyuzi ziko hapa jukwaani. Watu hao hao leo matusi yake hayasemeki kama vile kununua "mapanga" ni dhambi kubwa.
Tuache unafiki na tubadilike.
Maswala yangu yanayonipa wasiwasi ni ishu za menejiment ya ile kampuni...kampuni iliyooza, je kampuni ile itaweza?
The Boss nakupa changamoto, Emirates ni kampuni ya ndege maarufu sana....je unajua ilianza na ndege ngapi miaka ya 80?
Menejiment na weledi wa biashara. Hili jambo sisikii likiongelewa. Tunatukana ndege weeee...hata ukipewa airbus mpya 100 kama huna menejiment nzuri utachemsha ndani ya miaka 5.
Tunavyoanza kujenga nchi, kujenga uchumi tujielekeze kwenye viopaumbele halisi..na sio chuki kwa serikali pekee.
Hapo tuko pamoja...Mkuu umetoa maelezo mengi lkn napenda kukujibu hapo mwisho kuhusu weledi wa Menejiment...Mhe,,alishatangaza hatalipa MTU mshahara unaozidi 15ml...hebu niambie kwa Mshahara huo utapata Menejiment gani ya maana yakuendesha Shirika kwa Ufanisi matokeo yake ndio hivyo kuchagua makada Mpaka hapo bado unategemea jambo jipya? nyie mnadhani watu wanaichukia Serikali NO....inajitakia yenyewe!
Miezi ya mwanzo ya utawala huu ulipata uungwaji Mkono na watu wengi wakiamini anajitofautisha na waliopita sababu waliwekeza sana ccm ambayo ndio chanzo cha NCH hii kufilisika lkn siku zilivyozidi kwenda Mhe...anaitumikia CCM kuliko waliomtangulia tena kwa kutandaza askari watu wasiongee wasikutane...kwa style hiyo unategemea niniHapo tuko pamoja...
Mie sina tatizo na ndege, ndege hizo ni nzuri kabisaa...
Kilio changu kiko kwny menejiment.
Ni hatari kubwa manake hapo ndo tunapopotezea kila kitu.
wewe ndio utakuwa wa ajabu hivi tunashindwa hata na burundi? sisi na. mapanga shaa wenzetu kila kukicha vita lakini wana mijidege ya kubeba abiria 200 kichwa changuKuna mtu aliniambia nyie watanzania wa ajabu sana, hata siku moja hamuwez kujivunia chochote cha kwenu, mna tatizo gan, mnaweza hata kataa mlima kilimanjaro wenyewe mkasema uko kenya nyie wenyewe, there is nothing good for tanzanians instead they like being beggers only ther u will have many of them