PICHA: Ndege mpya za Fastjet hizi

PICHA: Ndege mpya za Fastjet hizi

Hii itawezekana siku serikali ikinunua vitu vinavyolingana na utajiri tulio nao. Tunaposikia mabilioni yamechotwa kupitia EPA, Escrow na IPTL, Symbion, misamaha ya kodi ACACIA, n.k. inakuwa ngumu kuchekelea kuwasili kwa "feni". Ingekuwa AC sawa.

Leo hii nikihamishia robo tatu ya kipato changu kwa mchepuko ukajinunulia "Vogue" halafu nikaleta nyumbani ki-"vitz" na kisha kulalamika kwa nini mke na watoto wangu hawajachekelea eti hawathamini vyetu nitakuwa nawachukulia mazoba sana!
Spot on mwana.
 
Magufuli hajui
Mbarawa hajui..
ATCL hawajui....

Masuala ya 'efficiency sisi watu weusi ni kama sio utamaduni wetu
Magufuli angekuwa serious angeleta wazungu kuiendesha hiyo ATCL
Actually angekua siriaz angenunua madawati au chanjo au kufungua (soma kuwezesha) walau kiwanda kimoja cha kutengeneza vyoo kukarabati uharibifu mkubwa kwenye majengo ya serikali.

Nakubaliana nawe Hawajui nini wanatakiwa kufanya.
 
Embraer ni economically better
Kwenda mwanza yaweza tumia mafuta ya 6mil ukigawa kwa watu inaobeba 98 bila customization nauli yaweza kuwa 90,000 safari moja wakipiga trip 4 mwanza wanakula faida sana
Hiyo safari itafidiwa na safari za Kilimanjaro maana distance ni fupi ila bei ni sawa na mwanza
 
Interesting.....

tuone 'mapanga shaa' na hizi nani zaidi
Air Tanzania inawateja balaaa, fastjet ni utapeli na ujambazi
View attachment 405754 Kampuni ya ndege ya Fastjet imepanga kuingiza nchini ndege moja jamii ya Embraer 190 ili kukabiliana na hali ngumu ya sasa ya kibiashara.

Jana Mkurugenzi Mkuu wa kampuni hiyo, John Corse amesema ndani ya wiki mbili zijazo wataingiza ndege mpya katika safari zake ikiwa ni sehemu ya majaribio ya kutekeleza mkakati wa mabadiliko C&P MCL.View attachment 405750 View attachment 405751
 
Mambo ambayo Magufuli ameyafanya muhimbili nayo hamyaoni? Angalia kwenye huduma za afya nchini angalia nidhamu kazini kwa watumishi. Najua strategy ya upinzani ni kupindisha mafanikio ya Magufuli ili aonekane mmbaya kwa wananchi na matokeo yake Lowassa ndio aonekane mwema.
Lowassa umemtaja wewe kwa kiwewe. Angeendeleza mazuri kwa kununua chanjo na madawa badala ya kutumia bilioni 120/= kununua hizo mapangashaa
 
Embraer 190, E190, Embrear 170, ya Brazil ni hottest cake... in aviation hasa ktk regional flights.. !! Yaani hiyo inaua biashara ya ndege za turbo props kabisa... na ni special for regional flights.. medium and short ranges..!!

Sijui kama Serikali yetu inajua hili..!!

View attachment 405764 View attachment 405766 View attachment 405769 View attachment 405764 View attachment 405766 View attachment 405769 View attachment 405770 View attachment 405771 View attachment 405771View attachment 405771 View attachment 405773
Umenena mambo ya kitaalamu sana jay One.Ungefafanua kwa niaba ya wana jf wasio wataalam wa anga ili tupate mwanga
 
Lowassa umemtaja wewe kwa kiwewe. Angeendeleza mazuri kwa kununua chanjo na madawa badala ya kutumia bilioni 120/= kununua hizo mapangashaa
Ahaha unachekesha sana. Hivi umefanya tafiti kuhusu huduma za afya au unapiga kilele tu ilimradi upinge kila Kitu?
 
Ndio maana ndani ya kila serikali Kuna baraza la mawaziri. Kila wizara huwa inafanya thamini ya nini cha kufanya ndio wanafanya. Kwa raisi huyu na baraza lake la mawaziri watatufikisha pazuri sana. Suala la madawati ni wizara nyingine kabisa ambayo nayo so far imeshafanya vizuri sana kutatua tatizo la madawati na bado wanaendelea.
Hao mawaziri kwani wanafanya kazi gani isipokua kutumiakia taifa hili? So kwa pamoja wangeamua pesa hizo zielekezwe sekta stahili sio kwenye midege ambayo haina msaada wowote kwa mtoto anaekosa chanjo
 
Nimejisikia kuandika MAPANGA SHAAAAA
 
Ahaha unachekesha sana. Hivi umefanya tafiti kuhusu huduma za afya au unapiga kilele tu ilimradi upinge kila Kitu?
Labda we huumwagi. Mi nazungumzia hali halisi hospitali za serikali hazina chanjo ya pepopunda. Unajua umuhimu wa hiyo chanjo? Achia mbali za kichaa cha mbwa na upungufu wa madawa.

Kama ni tathmini hata we unayo. Unajua wauguzi wapya hawajaajiriwa? Wanaahidiwa kila siku ajira yaja ila hola. Na waliopo wanalalamikia maslahi.
 
Semeni msemavyo.... ndege ni zetu.Heri tisa kibindoni kuliko kumi nenda urudi.Tumeanza na hizo na tutafanikiwa tu..kwani penye nia pana njia.Inshaalah...
Shirika lilishakufa hata mkinunuliwa ndege 1000.

Atc iuzwe kwa wananchi na precision.
 
mapanga shaa atakuwa na wakati mgumu .

Huo ni ushamba jamaa yangu....mbona Dar tuna magar ya mwendo kasi lakini watu bado wanapanda yale magari yetu ya kizamani....dereva kuingiza gia anamwomba abilia kusogea pembeni.
 
Back
Top Bottom