PICHA: Ndege mpya za Fastjet hizi

PICHA: Ndege mpya za Fastjet hizi

Kaka hata ziwe ndege 100,haziwezi kuwa mbadala wa Yutong,nauli itabaki kuwa expensive, umeona hee walete wataalam wenye weledi co kuchukua makada tu kama walivyofanya kwa TTCL.
Tumia muda kidogo kusoma CV ya yule Jamaa wa TTCL kisha ndio utaelewa Magufuli yako serious.
 
Cv yake ina kipi cha maana, yan mtu alikua branch manager anaaenda kuwa acting CEO wa shirika kubwa kama TTCL...unadhani makampun makubwa kama vodacom, airtel na tigo wanavyoleta watu waliobobea kuja kua wakurugenz wa makampun yao ni wajinga..?
 
Profesa Mbarawa ameitaka Bodi hiyo kuipa ATCL mifumo imara, makini na mahiri ili kuweza kutatua changamoto zinazoikabili Shirika hilo ikwemo wizi wa mafuta ya ndege na upotevu wa mapato.

Ili kupima ufanisi wa utendaji wa Shirika hilo Profesa Mbarawa ameitaka Bodi hiyo kuandaa mkataba kwa kila mfanyakazi kuanzia ngazi ya juu hadi chini.

Katika hatua nyingine Waziri Mbarawa amesema kuwa Serikali ina mpango wa kununua ndege mbili mpya aina ya Jet ifikapo mwaka 2017 kwa lengo la kuboresha sekta ya usafirishaji wa anga nchini.

Je, gharama za uendeshaji za Bodi ya ATCL zina uwiano gani na gharama hizohizo kwa mashirika shindani ya ndege kama Fastjet na Precision air?
 
Cv yake ina kipi cha maana, yan mtu alikua branch manager anaaenda kuwa acting CEO wa shirika kubwa kama TTCL...unadhani makampun makubwa kama vodacom, airtel na tigo wanavyoleta watu waliobobea kuja kua wakurugenz wa makampun yao ni wajinga..?
Inawezekana kwa awamu hii wakatenda tofauti na ile bodi iliyokuwepo Mkuu.
Kipindi cha nyuma serikali ilikiwa inatoa fedha lakini wenyewe walikuwa wakijinunulia mashangingi hadi ya kubebea cabin crews.
Unadhani sasa watathubutu hilo!!?
 
Cv yake ina kipi cha maana, yan mtu alikua branch manager anaaenda kuwa acting CEO wa shirika kubwa kama TTCL...unadhani makampun makubwa kama vodacom, airtel na tigo wanavyoleta watu waliobobea kuja kua wakurugenz wa makampun yao ni wajinga..?
Kwa hiyo ulitaka awe nani pale labda?
 
Hizi sasa ndio zinaitwa Business Strategy.

Change of business environment imefanya jamaa waweze ku change operations model.

Na walisubiri ATC wafanye move ndio nao wane counter.

Hapa threat imeamia kwa ATC na Precision, je wataweza ku compete? Time will determine.
 
Sijui kama biashara kuyumba ni sababu ya kubadili ndege kutoka A319 mpk E190,mi naona jamaa wanajiandaa kimkabili 'mapanga shaaa' a.k.a ATCL maana hizo ndege za sasa za fastjet A319 zinatua viwanja 4 tu Dar,mwanza,Kilimanjaro na mbeya(songwe),ila hizo E 190 zinaweza kwenda Bukoba,Arusha,Mtwara,Tabora,Kigoma,Musoma na Dodoma kwahiyo mapanga shaa wajiandae.
Mtwara ni moja ya viwanja vitano vikubwa vya miaka mingi, Ukianza na Dar, KIA, Unguja, Mwanza na Mtwara. Hata zile boing za ATC, sasa hivi ATCL zilikua zinatua pale hebu rudisha kumbu kumbu nyuma.
 
Kuna mtu aliniambia nyie watanzania wa ajabu sana, hata siku moja hamuwez kujivunia chochote cha kwenu, mna tatizo gan, mnaweza hata kataa mlima kilimanjaro wenyewe mkasema uko kenya nyie wenyewe, there is nothing good for tanzanians instead they like being beggers only ther u will have many of them
 
Yeeeeea. Ile tamthlia ya ndege imefka patam. Na wa ATCL wamepewa miezi mi3 kuonyesha ufanisi. Lets wait and see. Wataeza huu mzk kweli?
 
Mkuu;
Tuseme hupandi kwa kuwa haipai juu yatembea ka vw au ni kwa kuwa imenunuliwa na serekali. Ushauri wangu wa bure kwa watu wa sampuli yako;
Acha ziletwe kwa wingi nchini. Bei (Nauli) ishuke, wenye safari za ndani tuepuke mabas haya yanayowachinja ndg zetu kila siku. Ndege zipae juu na kutua salama. Nadhani la msingi tungeli iomba serekali hii sikivu, iangalie uongozi unaowekwa. Tusiangalie kadi ya chama, Biashara itakufa kabla haijaanza wakiweka chama chao mbele. Gazeti la uhuru halisomeki kwa sababu bila habari ya sendeka haliruhusiwi kuuzwa. Matokeo yake linapelekwa maofisini tu nako hawalipi.
Wekeni wataalam wa biashara waongoze shirika sio mainjinia. Injinia asimamie karakana
Asilimia kubwa ya makampuni yanayokufa yanaharibiwa na siasa Na Sio Engineer wala mhasibu
 
Naam, ndege imeenda shule hii. Kitu kimetulia. Ni jet engine. Yale mapanga shaaaa hata kwa bure sipandi.
Na wale wanaopanda mapanga shaa ya precission air na ethiopian airlines ni wapumbavu eeh?
 
Prof.Mbarawa atajitokeza sasa hivi kuja kuonyesha ubora wa "mapanga shaa" na hizi ndege..Awamu hii kwa kukanusha hawajambo
 
Sijui kama biashara kuyumba ni sababu ya kubadili ndege kutoka A319 mpk E190,mi naona jamaa wanajiandaa kimkabili 'mapanga shaaa' a.k.a ATCL maana hizo ndege za sasa za fastjet A319 zinatua viwanja 4 tu Dar,mwanza,Kilimanjaro na mbeya(songwe),ila hizo E 190 zinaweza kwenda Bukoba,Arusha,Mtwara,Tabora,Kigoma,Musoma na Dodoma kwahiyo mapanga shaa wajiandae.
Wanaumeeee....mapanga shaaaa!!
 
Mkuu umesahau kidogo..zinatua pia Zanzibar
 
Interesting.....

tuone 'mapanga shaa' na hizi nani zaidi
Tunasahau kuwa Fastjet wameamua kuleta ndege ndogo baada ya "kulost".
Huu ni ushahidi kuwa ndege kubwa hazifai kwa safari fupi za ndani.
Na huu ni ushahidi dhidi ya wale waliokuwa wanalilia "tungenunua airbus kama za fastjet".
Ni lazima sasa kundi hilo likiri kua walipotoka. Na kuwa ndege ndogo na za kati ndo mpango mzima kwa safaei za ndani na sio zile kubwa.
Hata precission walichemsha na ile jet yao mapema sana.

Na vile vile kuna mashirika mengi sana ya ndege yanarusha hayo "mapanga shaa" na wabongo wanapanda...lakini kwa kuwa ni cha serikali ishakuwa nongwa...watu hao hao wanapanda panga shaa la ethiopiana kwa tabasam na raha tele na wanashuka JKNIA kwa swagger....lakini ya serikali matusi..
Na precission kila walivyokuwa wanaongeza "mapanga" mapya tuliwasifu sana.....na nyuzi ziko hapa jukwaani. Watu hao hao leo matusi yake hayasemeki kama vile kununua "mapanga" ni dhambi kubwa.
Tuache unafiki na tubadilike.

Maswala yangu yanayonipa wasiwasi ni ishu za menejiment ya ile kampuni...kampuni iliyooza, je kampuni ile itaweza?

The Boss nakupa changamoto, Emirates ni kampuni ya ndege maarufu sana....je unajua ilianza na ndege ngapi miaka ya 80?
Menejiment na weledi wa biashara. Hili jambo sisikii likiongelewa. Tunatukana ndege weeee...hata ukipewa airbus mpya 100 kama huna menejiment nzuri utachemsha ndani ya miaka 5.

Tunavyoanza kujenga nchi, kujenga uchumi tujielekeze kwenye viopaumbele halisi..na sio chuki kwa serikali pekee.
 
Semeni msemavyo.... ndege ni zetu.Heri tisa kibindoni kuliko kumi nenda urudi.Tumeanza na hizo na tutafanikiwa tu..kwani penye nia pana njia.Inshaalah...
Usitumie Inshaalah..kwa vitu vya kijinga
 
Tunasahau kuwa Fastjet wameamua kuleta ndege ndogo baada ya "kulost".
Huu ni ushahidi kuwa ndege kubwa hazifai kwa safari fupi za ndani.
Na huu ni ushahidi dhidi ya wale waliokuwa wanalilia "tungenunua airbus kama za fastjet".
Ni lazima sasa kundi hilo likiri kua walipotoka. Na kuwa ndege ndogo na za kati ndo mpango mzima kwa safaei za ndani na sio zile kubwa.
Hata precission walichemsha na ile jet yao mapema sana.

Na vile vile kuna mashirika mengi sana ya ndege yanarusha hayo "mapanga shaa" na wabongo wanapanda...lakini kwa kuwa ni cha serikali ishakuwa nongwa...watu hao hao wanapanda panga shaa la ethiopiana kwa tabasam na raha tele na wanashuka JKNIA kwa swagger....lakini ya serikali matusi..
Na precission kila walivyokuwa wanaongeza "mapanga" mapya tuliwasifu sana.....na nyuzi ziko hapa jukwaani. Watu hao hao leo matusi yake hayasemeki kama vile kununua "mapanga" ni dhambi kubwa.
Tuache unafiki na tubadilike.

Maswala yangu yanayonipa wasiwasi ni ishu za menejiment ya ile kampuni...kampuni iliyooza, je kampuni ile itaweza?

The Boss nakupa changamoto, Emirates ni kampuni ya ndege maarufu sana....je unajua ilianza na ndege ngapi miaka ya 80?
Menejiment na weledi wa biashara. Hili jambo sisikii likiongelewa. Tunatukana ndege weeee...hata ukipewa airbus mpya 100 kama huna menejiment nzuri utachemsha ndani ya miaka 5.

Tunavyoanza kujenga nchi, kujenga uchumi tujielekeze kwenye viopaumbele halisi..na sio chuki kwa serikali pekee.
Usiamini sana kampuni inaposema imepata hasara mana huwa wanafanya hivyo wapate huruma ya kodi
 
Back
Top Bottom