Kazi ndugu zangu ni kupiga kura, kuzilinda na kuhakikisha kuwa akina Makame na Kiravu hawabadili matokeo ya Slaa na kumpa Kikwete. Ni lazima kufanya hilo kwa nguvu zote bila woga wowote ule.
Kweli huyu Dr wa ukweli maana watu wanakuja wenyewe kwenye mikutano yake kumsikiliza na hiyo ni dalili tosha watu wameshachoka na CCM na ubabaishaji wao kazi iliyobaki ni sisi wananchi tukapige kura za ndio kwa Dr slaa
Kwa kweli inatia moyo kuona vijana ameacha starehe na biashara na wako hapo kumsikiliza dr Slaa.. naona mzee Marando naye in da house.. sijui atakuwa ametema cheche gani tena?
Nina uhakika Dr Slaa akianza safari yake ya kusini huko Mtwara na Lindi pia atapata watu wengi sana. Watanzania sasa wana mwamko!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.