Picha: Mkutano ACT Singida

Picha: Mkutano ACT Singida

Tatizo lenu CHADEMA mmefukuza wasomi wote mashudu,hamuwezi kufikiri tena.Mbona hata hicho kipeperushi cha majungu cha DJ MBOWE Tanzania Daima kinaandika.[/QUOTWe boya hela zitawatokea puani hizo....ccm unataka kumtoa madarakani huyo huyo akushabikie na akupe promo kwenye vyombo vyake vya habari..we kweli boya na zero kama huo mchezo huujui au na wewe ni mmoja wa wafaidika wa fedha toka ccm ...niunganishe na mimi mwaka wa kupiga hela huu
 
Alafu angalia vizuri wasikilizaji walivyo makini kusikiliza, utafikiri wapo darasani ata kuongea na jirani yake hakuna, concentration 100%, hii ndio raha ya siasa za hoja. Watanzania walizimiss sana siasa za aina hii, wanastahili kuzipata sasa.
 
Umeongea jambo la mbolea sana.

Kuna wakati nilihudhuria mkutano mmoja ulifanyika kijijini kwelikweli, alafu mkutano mzima yanatajwa majina tu ya watu ambayo wanakijiji wenzetu ata hawajui kama ni mnyama au ni mdudu. Wanakijiji wale hawakuambiwa ata jambo moja kuhusu kilimo chao wala namna gani maisha yao yatabadilishwa.Hizi ni aina ya siasa za zamani ambazo zimepitwa na wakati.

Watanzania wanataka mabadiliko na kwa namna ya siasa zilivyo sasa hakika wanapaswa wapate mabadiliko.Mabadiliko kuondokana na siasa za taarabu na kuwa siasa za kushindania masuluhisho ya matatizo ya watu.Kutoka kwenye siasa za matusi na kashfa na kuelekea kwenye kushindania sera na mfumo bora zaidi wa kuleta maendeleo na kutatua matatizo yaliyopo katika nchi.

Hii ndio njia ambayo ACT wanataka kuifuata.Tuwaunge mkono.

Boya mwingine huyu hapa.....chama kinachopewa promo na vyombo vya habari vya serikali .....hv serikali itoe promo kwa mtu anaetaka kuiondoa eti na wewe unajidai great thinker kweli maboya wako wengi humu ndani...sijui kwanini shule za kata zilianzishwa na vyuo vya uchochoroni
 
[QWe boya hela zitawatokea puani hizo....ccm unataka kumtoa madarakani huyo huyo akushabikie na akupe promo kwenye vyombo vyake vya habari..we kweli boya na zero kama huo mchezo huujui au na wewe ni mmoja wa wafaidika wa fedha toka ccm ...niunganishe na mimi mwaka wa kupiga hela huu

Wanasiasa wasio na hoja ya kutegemea uzushi, uongo na propaganda lakini bahati mbaya kwao mwisho wa siasa hizo hatimaye umefika.

Watanzania sasa wanahitaji siasa za masuluhisho ya matatizo yao na zenye dira ya njia bora zaidi ya kuwaletea maendeleo yao.

ACT WAZALENDO, TAIFA KWANZA, TURUDI KWENYE MISINGI
 
Hongera Zitto kwa ACT yako kuukubaliwa kirahisi na vyombo vya DOLA,si msajili wa vyama wala polisi wote wamekukubali Zitto.Mikutano yako inaruhususiwa kufika hata saa mbili usiku.Nafikiri hata vibali unavyo permanent mfukoni.Vyama vya upinzani vingine havina fursa hiyo.
wanaoneshwa sana TBC lakini wataiumiza CCM mfano Dodoma , Singida ,Songea wanaiparura CCM huku wakijifanya wanahujumu upinzani heko ACT mnisamehe sikuwaelewa sasa nasema go, go go
 
wanaoneshwa sana TBC lakini wataiumiza CCM mfano Dodoma , Singida ,Songea wanaiparura CCM huku wakijifanya wanahujumu upinzani heko ACT mnisamehe sikuwaelewa sasa nasema go, go go

Na ndio lengo la ACT wazalendo kumtoa mkolono mweusi
 
Wanasiasa wasio na hoja ya kutegemea uzushi, uongo na propaganda lakini bahati mbaya kwao mwisho wa siasa hizo hatimaye umefika.

Watanzania sasa wanahitaji siasa za masuluhisho ya matatizo yao na zenye dira ya njia bora zaidi ya kuwaletea maendeleo yao.

ACT WAZALENDO, TAIFA KWANZA, TURUDI KWENYE MISINGI
Wee kweli boya na msukule wa zito...eti siasa safii...tbc_ccm wanaonyesha mikutano yenu habari leo wanaitangaza jambo leo ndo usiseme...vyuo na shule za kata vimeharb uwezo wa kufikiri wa watu....niunganisheni na mimi tupige wote hizo hela za ccm...kamanda wa act nipo mwanza kiongozi niunganishe tule wote hzo hela na nna siri nyingi sana za cdm
 
Zitto kwenye ubora wake.
KAMA WALIVYO MBANIA POGBA MAN U,AKAENDA JUVENTUS SASA NI KIUNGO BORA DUNIANI,FERGERSON MBAYA SANA NA HUKU KWETU WAKINA MTEI WABAYA SANA.i
 
Last edited by a moderator:
Wee kweli boya na msukule wa zito...eti siasa safii...tbc_ccm wanaonyesha mikutano yenu habari leo wanaitangaza jambo leo ndo usiseme...vyuo na shule za kata vimeharb uwezo wa kufikiri wa watu....niunganisheni na mimi tupige wote hizo hela za ccm...kamanda wa act nipo mwanza kiongozi niunganishe tule wote hzo hela na nna siri nyingi sana za cdm

Bado hujaanza kuongea hoja?bado upo kwenye siasa za kale??treni ya mabadiliko imeishaanza safari!

  • Wanasiasa wasio na hoja ya hutegemea uzushi, uongo na propaganda lakini bahati mbaya kwao mwisho wa siasa hizo hatimaye umefika.

    Watanzania sasa wanahitaji siasa za masuluhisho ya matatizo yao na zenye dira ya njia bora zaidi ya kuwaletea maendeleo yao.

    ACT WAZALENDO, TAIFA KWANZA, TURUDI KWENYE MISINGI​

KAMA WALIVYO MBANIA POGBA MAN U,AKAENDA JUVENTUS SASA NI KIUNGO BORA DUNIANI,FERGERSON MBAYA SANA NA HUKU KWETU WAKINA MTEI WABAYA SANA.i

Wenzako wanapiga hela za mwigulu na ccm yake we unajidai mzalendo halisi...mwaka wa hela huuu
 
Bado hujaanza kuongea hoja?bado upo kwenye siasa za kale??treni ya mabadiliko imeishaanza safari!

  • Wanasiasa wasio na hoja ya hutegemea uzushi, uongo na propaganda lakini bahati mbaya kwao mwisho wa siasa hizo hatimaye umefika.

    Watanzania sasa wanahitaji siasa za masuluhisho ya matatizo yao na zenye dira ya njia bora zaidi ya kuwaletea maendeleo yao.

    ACT WAZALENDO, TAIFA KWANZA, TURUDI KWENYE MISINGI​

Hoja ni kupiga hela hapoo...zzk anakimbizana na mda ili fungu lingine liletwe we unapiga domo huku..ndio maana kapanga mikutano yake mfululizo ili ahalilshe kuisha kwa fungu la kwanza wampe lile kubwa la 700m...chezea zzk wewe ruvuma yote kapiga mkutano songea tuu ili akimbizane na mda wampe fungu lingine
 
Kamwe sikutegemea kama hiki chama kingeweza kupata watu wengi mamna hii wa kwenda hata kuwasikiliza au kusikia kile wasemacho.
Mwaka huu mpambano ni mkali sana
 
hivi zito unaweza mlinganisha na nani kutoka chadema? me bado sijaona.

mkuu hakuna hata mmoja hata ukiziunganisha akili zao wote hawawezi kufikia zitto. ...zitto ni engine bwana.
 
mkuu hakuna hata mmoja hata ukiziunganisha akili zao wote hawawezi kufikia zitto. ...zitto ni engine bwana.

Na kweli hakuna....pale hakuna mwenye akili za kisaliti kama zito..na huwezi kulinganisha kabisa
 
Back
Top Bottom