Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,933
- 34,912
Hivi ni LAZIMA Watanzania Wote wawe na kadi za vyama?Nauliza Tu.Kilaza said:wakijibu hili swali mods nipigeni ban
.
Hivi ni LAZIMA Watanzania Wote wawe na kadi za vyama?Nauliza Tu.Kilaza said:wakijibu hili swali mods nipigeni ban
Hahaha.Mkuu hawa BAVICHA ni hatari,na Wa aina hii ndo wanaotakiwa na DJ MBOWE.Anachotaka ni kuongeza RUZUKU tu.Wasomi hawatakiwi CHADEMA....Kinambeu said:Kiingereza ndugu yangu Alliance siyo ulivyoandika Wewe hakuna mmakonde zuzu ulisoma wapi Mnyambe Sec? Pole sana Au Kitangari?
Kiingereza ndugu yangu Alliance siyo ulivyoandika Wewe hakuna mmakonde zuzu ulisoma wapi Mnyambe Sec? Pole sana Au Kitangari?
wakijibu hili swali mods nipigeni ban
Tuko pamoja Ndugu Kimbtza !!Tanzania waitakayo Watanzania Itakuja.... #TeamZZK #TeamACTWazalendo #ProudlyTanzanian #ProudlyPanafricanist
Acheni MAANDAMANO,FUJO,MATUSI na MAJUNGU.Fuateni sheria za nchi ambazo wabunge wenu wameshiriki kuzitunga.MTAKUWA HURU.Kumbuka hata MWL JK NYERERE na TANU yake walikuwa wapinzani....daud magigo said:Hongera Zitto kwa ACT yako kuukubaliwa kirahisi na vyombo vya DOLA,si msajili wa vyama wala polisi wote wamekukubali Zitto.Mikutano yako inaruhususiwa kufika hata saa mbili usiku.Nafikiri hata vibali unavyo permanent mfukoni.Vyama vya upinzani vingine havina fursa hiyo.
Sambaza uzalendo
Mwenyekiti wa Taifa anatokea Singida...hakika wana singida wamejitokeza kwa wingi...mama Magwhira atakua amefarijika sana
Kiingereza ndugu yangu Alliance siyo ulivyoandika Wewe hakuna mmakonde zuzu ulisoma wapi Mnyambe Sec? Pole sana Au Kitangari?
Hawa vibaraka bwana picha zinaungwa ungwa ionekane kuna watu....huko watu ni jobless mikutano ya siasa ni sehemu ya viburudisho kwao ...ukitaka kuprove nenda angalia wanaohamasika na hcho chama utakuta hawazd hata 10 wengine wanashangaaa tuuu....tofauti uende kwenye mikutano ya wengine uone
Duh Ebwana ACT ni moto....hizo nyomi balaaa mwaka huu ufipa watataga
Duh Ebwana ACT ni moto....hizo nyomi balaaa mwaka huu ufipa watataga