Picha: Mkutano ACT Singida

Picha: Mkutano ACT Singida

mkuu hakuna hata mmoja hata ukiziunganisha akili zao wote hawawezi kufikia zitto. ...zitto ni engine bwana.

Akili ya Zitto ni zaidi ya viongozi na wanachama wote wa Chadema kwa pamoja
 
Zitto anapendwa na Watanzania wote

Tunampenda sana kwa kuwapatia vijana wenzetu ajira wangepata wapi pesaa mda kama huuu....huu ndio mwaka wa kupiga hela kutoka ccm....hongera zzk tunakupenda sana vijana wamepata ajira
 
Zitto kwenye ubora wake.

teh teh teh aiseee dah siku hizi unakunywa gahawa tu, cdm wamewapandisha sana vilima, mmepata wakuwapiga tafu kidogo japo kwa muda teh teh nipe gahawa na mimi
 
Hoja ni kupiga hela hapoo...zzk anakimbizana na mda ili fungu lingine liletwe we unapiga domo huku..ndio maana kapanga mikutano yake mfululizo ili ahalilshe kuisha kwa fungu la kwanza wampe lile kubwa la 700m...chezea zzk wewe ruvuma yote kapiga mkutano songea tuu ili akimbizane na mda wampe fungu lingine


  • bado upo kwenye siasa za kale??treni ya mabadiliko imeishaanza safari!


    • Wanasiasa wasio na hoja ya hutegemea uzushi, uongo na propaganda lakini bahati mbaya kwao mwisho wa siasa hizo hatimaye umefika.

      Watanzania sasa wanahitaji siasa za masuluhisho ya matatizo yao na zenye dira ya njia bora zaidi ya kuwaletea maendeleo yao.

      ACT WAZALENDO, TAIFA KWANZA, TURUDI KWENYE MISINGI​








 
attachment.php

attachment.php

attachment.php


MSISITIZO: Angalia watu walivyo makini, mpaka watoto wadogo concentration 100%, utafikiri wameambiwa baada ya mkutano wanapewa mtihani.

Ndio uzuri wa siasa za hoja.Zinashawishi akili kufikiri na kuona mwanga wa matumaini.Watanzania wamechoka siasa za kale za kashfa na propaganda.Wanahitaji siasa za hoja.

ACT WAZALENDO, TAIFA KWANZA, TURUDI KWENYE MISINGI
 

Wala wasikutoe kwenye mada mkuu, wewe jadili siasa za kujenga na za matumaini.

Hao waliokosa hoja na kubaki kutegemea kutunga uongo na kashfa kila siku wasamehe bure.Hiyo ni dalili tu ya mtu asiye na hoja.Wasamehe bure.

Watanzania wanaendelea kukipokea chama chao kwa kasi ya ajabu sana, na ACT haitawaangusha kwa imani yao hiyo.
 
Back
Top Bottom