Picha: Mkutano ACT Singida

Picha: Mkutano ACT Singida

Then ili kujua kama hicho chama kina nguvu kiasi gani inabidi wapite tena humohumo walimopata hiyo nyomi hapo ndio wajipime maudhurio yatakuwaje?
 
ImageUploadedByJamiiForums1429118208.169940.jpg

ACT Hawafanyi siasa za mapambano haioni haja ya kuonyesha kadi zinazorudishwa. Wala haina haja ya kutusi, au kufitini. ACT Wana ugomvi na mfumo wa kinyonyaji uliotufanya tuwe maskini
 
Hongera zao maana historia inaonyesha kwamba hata vyama vyenye nguvu leo havikuanza kwakukusanya umati kama huu,
 
Duh Ebwana ACT ni moto....hizo nyomi balaaa mwaka huu ufipa watataga

Kwa hiyo unadhihirisha kuwa ACT imeundwa mahususi kwa ajili ya kupambana na Chadema?
 
MUSSA ALLAN said:
Wachaga wenzangu wa CHADEMA, sasa tufanyeje? Mbona kama SACCOS yetu iko hatarini kutoweka?
Hahaha,Wewe kweli ni MUSSA ALLAN
 
Last edited by a moderator:
mkulimawakiteto said:
ACT mbona mnachelewa sana njooni haraka huku kiteto Magwanda yanatubana tunataka kuyavua na kuvaa uzalendo
Tunakuja kaka,usiwe na shaka...
 
Wale wanao mpinga Zitto wakumbuke kuwa dalili ya Kimbunga ni upepo,Sasa kimbunga chaja
 
Ukombozi unakaribia kabisaaa na kwa mwendo huu lazima kuna watu wanalala na viatu.

Inategemea nini tafsiri ya ukombozi...na pia huo ukaribu inategemea ni karibu kiasi gani. Kama una uhakika, weka indicators na timelines halafu tuje tuupime huo ukombozi muda huo ukifika.
 
Chama cha JF tu mtaani hata hakijulikani
 
Mbio za wasaliti zitaishia ukingoni tuu hahaha....... Picha zenyewe zimepigwa kijanja kuficha ukweli watu hata 500 hawafiki hahaaaaaaaaaa. Tumieni hela za ccm then........
 
Huwezi kumfananisha zito na mtu kwa kuwa Mungu ameumba kila mtu kwa jinsi yake. Ni mtu asiyeheshimu maamuzi ya taasisi ndo maana amepewa Kiongozi mkuu ili asipigwe na yeyote ACT. Watu kukusikiliza sio kukuelewa. Ingekuwa hivyo angemwacha kwa mbali mpinzani wake ktk jimbo lake 2010. Mawazo ya watu ni variable.
 
Back
Top Bottom