Picha: Mkutano ACT Singida

Picha: Mkutano ACT Singida

Act-wasaliti.
Tawi kuu la ccm kitakufa pamoja na ccm October. Its just a matter of tym
 
Duuuuuuuuuuuu!
Ngoja tuchukue chetu mapema,maana jamaa watachukua nchi october.Huu moto never seen aisee lol!
 
Hawa Jamaa kasi yao inanitisha hakika hata ccm tujipange huu mwaka tunaweza jikuta tumefutwa I swear ACT na UKawa wakiungana ccm hatuko tena kwenye ramani chama chetu kwa sasa kimechokwa
 
Haya bwana!! Tumeona ila unganeni na vyama vingine vya upinzani kama vikihiarika ili muufikie kwa urahisi ukombozi wa mtanzania wa sasa.Kura yangu ni ya upinzani ila mkiendelea kukagawanyika namna hii mtawakosesha raha wapenda mabadiliko ya kweli.

mkuu,wito wako umenigusa mno,hasa hiyo sentesi ya mwisho ya "mtawakosesha raha wapenda mabadiliko ya kweli".
 
Ukiacha chadema hivi CUF inaweza pata umati huu hata awepo lipumba na seif????

Hata chadema yenyewe kwa sasa haipati umati kama huo.... watu wakiambiwa kuwa ushawishi wa zitto ndio uliosaidia kufanikiwa kwa cdm hawakubali.....sasa wasipokubali kwa maneno watakubali kwa matendo.
 
Tunashukuru kwa kupata chama kitakacho kuja kumkomboa mtanzani na chenye misingi ya kumgusa raia wa chini. Uzalendo daima.
Hivi mnadhani huo ukombozi tutaupata lini ikiwa kila mara tunaanza upya? Napenda mageuzi lakini kwa mtindo huu Tanzania tutasubiri sana. Sioni matumaini ya ukombozi.
 
Wamevuna wanachama elfu ngapi huko singida jamani mbona sijawahi kusikia walichovuna zaidi ya watu tu.maana hata mm wakifanya mkutano nilipo nitaenda kusikiliza Sio wao tu chama chochote ila siwezi kuwapa kura yangu

Chama hiki kimekuja na staili mpya ya kuendesha siasa za upinzani, nazo ni za kuepuka ufitini na unafiki. Hakiongelei watu au mtu, hakina siasa za kudharau vyama vingine. Sana kimejikita katika kujadili mambo yanayohusu jamii. Juhudi zao ni kupata wanachama bila kujali wanatoka wapi. hawaoni fahari kuonyesha wanaohama vyama vyao bali wanaona fahari hoja zao kusikiliswa na kueleweka kwa jamii.

Na kwa mwendo huu nawatabiria kupata mafanikio makubwa
 
Wataelewa somo tu japo kwa sasa wanajifanya hawaelewi ukombozi huja kwa kuueleza umma kwamba ni vipi utajenga mazingira ya kila mwananchi kunufaika na fursa iliyopo na sio kutuletea hoja ambayo itakuwa ni janga kwa taifa. Uzalendo daima
 
Back
Top Bottom