Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 54,081
- 43,176
Unawazungumzia Chadema.Chama cha JF tu mtaani hata hakijulikani
Unawazungumzia Chadema.Chama cha JF tu mtaani hata hakijulikani
vyama hivi havina jipya ipo siku vitapotea especially ACT
mkuu chama chako vipi? Umesajili?
hata nape alipofika kwa Tundu Lisu alisema CDM haipo. alichokipa serikali za mtaa lumumba hawatasahau yani 45-3.Zitto kwenye ubora wake.
Hawa nadhani wameondokana na ile kuandaa kadi feki za vyama vingine zionekane zimerudishwa kumbe ...
Niñachokiona ni kwamba ZZK kabadilisha sana zile siasa za ACT kabla hajajiunga kwa maana ya siasa za kushindana na vyama vingine.
Ile kuchelewa kuungana na wenzake imemsaidia kutambua madhara ya siasa za majitaka. Amejikita zaidi kwenye siasa za nguvu y hoja.
Akiendelea hivi atawapata wengi hasa wale wasiopenda siasa za misuli, ingawa Kazi bado anayo na muelekeo sahihi wa hiki chama utajulikana July through September.
Una akili sana mkuu.
Wengi hawaoni hayo ndio maana wanakazania eti waone watu wakirudisha kadi.Ile fasheni ya maigizo wanataka kila mtu afanye maigizo.
ACT wanafanya siasa za kistaarabu zinazosimama kwenye hoja tu.
Umenena mkuuHaya bwana!! Tumeona ila unganeni na vyama vingine vya upinzani kama vikihiarika ili muufikie kwa urahisi ukombozi wa mtanzania wa sasa.Kura yangu ni ya upinzani ila mkiendelea kukagawanyika namna hii mtawakosesha raha wapenda mabadiliko ya kweli.
Zito ataimalizia ccm hela jamani..chama kinatangazwa na vyombo vya habar vya serikali kuliko kawaida...makada wengi wa ccm wanakishabikia.....hivi uliona wapi mtu anataka kukutoa madarakani unamshabikia maboya kweli hawa....kama mtu anajiita mwana mageuzi anashabikia hiki chama atakua zero brain na zito hela zitamyokea puani hzo
Chama hiki kimekuja na staili mpya ya kuendesha siasa za upinzani, nazo ni za kuepuka ufitini na unafiki. Hakiongelei watu au mtu, hakina siasa za kudharau vyama vingine. Sana kimejikita katika kujadili mambo yanayohusu jamii. Juhudi zao ni kupata wanachama bila kujali wanatoka wapi. hawaoni fahari kuonyesha wanaohama vyama vyao bali wanaona fahari hoja zao kusikiliswa na kueleweka kwa jamii.
Na kwa mwendo huu nawatabiria kupata mafanikio makubwa
Atakuwa kama Mrema,soon kitakufa hicho chama
Tatizo lenu CHADEMA mmefukuza wasomi wote mashudu,hamuwezi kufikiri tena.Mbona hata hicho kipeperushi cha majungu cha DJ MBOWE Tanzania Daima kinaandika.mchambuzixx said:Zito ataimalizia ccm hela jamani..chama kinatangazwa na vyombo vya habar vya serikali kuliko kawaida...makada wengi wa ccm wanakishabikia.....hivi uliona wapi mtu anataka kukutoa madarakani unamshabikia maboya kweli hawa....kama mtu anajiita mwana mageuzi anashabikia hiki chama atakua zero brain na zito hela zitamyokea puani hzo
Hongera Zitto kwa ACT yako kuukubaliwa kirahisi na vyombo vya DOLA,si msajili wa vyama wala polisi wote wamekukubali Zitto.Mikutano yako inaruhususiwa kufika hata saa mbili usiku.Nafikiri hata vibali unavyo permanent mfukoni.Vyama vya upinzani vingine havina fursa hiyo.
Atakuwa kama Mrema,soon kitakufa hicho chama
Kinachonifanya kuidharau Chadema ni pamoja na kuendekeza siasa za kujadili watu na vyama badala ya sera za maendeleo.