mnauwezo wa kulinda kura na sera yenu ya upole? wapo wafia chama wa kufuatilia masanduku . Hongereni TBC wamewarusha kwenye taarifa ya habari dakika 2o kweli mmekubalika na serekali kuliko CCM
Haswaaaa! Na ndio shida ya vyama vingi vya upinzani, haviji na suluhisho mbadala la matatizo ya jamii, kazi kubwa kwao imekuwa kushinikiza, "Serikali itoe tamko" kwa kila tatizo linalotokea. wao wapo tu tukaa na kusikiliza. Wabunge wao na viongozi wanakuwa wa kwanza kuingia katika semina elekezi wafahamu sera, mipango na maagizo ya serikali, wakitoka humo hayawahusu ati bado ni kazi ya serikali kueleza na kuelimisha umma. Wananchi wakilalamika hawaelewi kitu na wao wanailalamikia serikali kwa nini haiwaelezi wananchi!!! ATI HAWAKO MADARAKANI
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.