stanlthecreator
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 1,947
- 648
Hee,nilifikiri haya mambo anafanya babu slaa pekeyake mpaka mbowe,duh pale ufipani pana laana
Hiki chama kimeanza vizuri
Then ili kujua kama hicho
chama kina nguvu kiasi gani inabidi wapite tena humohumo walimopata hiyo
nyomi hapo ndio wajipime maudhurio yatakuwaje?
Zitto kwenye ubora wake.
Halafu una wivu ulitaka mbowe akule denda wewe amuache mkewe.....aisee kama vipi mpelekee tigo aichune kidogo mana una wivu hadi na mkewe ...hadi umekwenda kutafuta clip ya birthdei yao inaonekana umemiss mambo yake
Hee,nilifikiri haya mambo anafanya babu slaa pekeyake mpaka mbowe,duh pale ufipani pana laana
Hee,nilifikiri haya mambo anafanya babu slaa pekeyake mpaka mbowe,duh pale ufipani pana laana
Boya mwingine huyu hapa.....chama kinachopewa promo na vyombo vya habari vya serikali .....hv serikali itoe promo kwa mtu anaetaka kuiondoa eti na wewe unajidai great thinker kweli maboya wako wengi humu ndani...sijui kwanini shule za kata zilianzishwa na vyuo vya uchochoroni
Wangapi wamejiunga leo?
Ukiacha chadema hivi CUF inaweza pata umati huu hata awepo lipumba na seif????