Picha: Miji ya Luanda nchini Angola

Dah! hao hatuwawezi,kwa aina hii ya uongozi yaani wametuacha mbali sana.
mkuu tutawaweza wapi wakati viongozi wetu wanawaza kupiga hela tu. Saizi wanaiba mala ya mwisho mwisho maana wanajua hawatarudi tena kwenye nyazifa zao
 
Nimesikia LUANDA is the most expensive city in Africa na pia Watumishi wa serikali ya Angola ni among the highly paid workers in Africa.

Halafu eti tunajishaua tuliwasaidia kudai uhuru na kurudisha amani ya kudumu nchini mwao. Shame on CCM

Huko Angola hususani Luanda Ak 47 zinauzwa kwa shilling za bongo zisizozidi 72000
 
Mkuu mm ndio bado nazdi kumshangaa mtu anayezidi kukaza misuri ya shingo eti dar ni mji mzuri. Mji umejaa harufu ya madampo. Kuna miji ya wenzetu imepangika vzr sana
 
Achana na washamba we mikoani hao,walikuwa wanafananisha vijiji vyao na dar sasa wameshindwa wanaanza kukimbilia miji ya watu. Kesho watataka kufananisha Dar na J'burg

Unaweza kutuita washamba kumbe ww ndo mshamba kwavile ww tangu uzaliwe umeishia dar tu. Mtu aliyetembea miji ya watu hawez kuisifia dar
 
Hongereni kwa kutuonyesha "Masaki, Oysterbay, Mlimani City etc" zao.....sasa si mbaya kama mtatupa na picha za "Manzese, tandale, mwananyamala, tandika" yao
 
Mkuu mm ndio bado nazdi kumshangaa mtu anayezidi kukaza misuri ya shingo eti dar ni mji mzuri. Mji umejaa harufu ya madampo. Kuna miji ya wenzetu imepangika vzr sana

Hawajatembea hao pia lack of exposure na kutojielewa wakienda kutembea sehem wanabaki kupiga picha tu na wakija huku wanasahau kule kua kuna otofaut na hapa Tz sie mpka leo hatuna bus terminal ya ukweli
 
Haya wakati sisi tukihangaika na BRT wenzetu wanajenga Metro train system

Kama huyu nyoka mwenye makengeza &Co wanaendelea kuwa kwenye system,then hakuna kitu aiseee.
 
Airport mpya ikiendelea kujengwa

Airport itakuwa na Metro train, chini mchoro ukionyesha mfumo wa train za umeme(Metro)

Airport mpya ikiendelea kujengwa

Airport itakuwa na Metro train, chini mchoro ukionyesha mfumo wa train za umeme(Metro)

Mkuu watakuja wanazi hapa watakuuliza wapi manzese na tandale za luanda? Swali langu kwao, haya hizi picha ni masaki na oysterbay za luanda tutoe zetu za level hiyo hiyo nazo basi tulinganishe?
 
Mkuu watakuja wanazi hapa watakuuliza wapi manzese na tandale za luanda? Swali langu kwao, haya hizi picha ni masaki na oysterbay za luanda tutoe zetu za level hiyo hiyo nazo basi tulinganishe?
hahahah ndoo hawa wanachagua mtu kwa kigezo cha kumuandalia Rais hotuba, eti kwa sababu unaanda hotuba za Rais na wewe unafaa kuwa Rais au umeandika kitabu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…