CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,361
- 6,441
Pamoja na civil war za muda mrefu lakini wametuacha mbali sana sisi "kisiwa cha amani"
Kisiwa cha watu wenye vichwa vya nazi!
Pamoja na civil war za muda mrefu lakini wametuacha mbali sana sisi "kisiwa cha amani"
RRONDO naomba uje hapa na dar yakowakazi wa Dar jiji la maraha simje hapa muone,maana kutwa kutunanga sisi wa nje ya Dar na kutuita wa mikoani njoo na picha za jiji lenu chafu kuanzia mipango miji hadi mazingira yanayozunguka jiji
Ngoja na sisi tuanze kupata hela za gesi....!
Ok mkuu Peter Tosh atakujibuRidiculoz,
picha nzuri sana kweli mji bomba! tuambie wakoje na rai wa hapo Luanda....ustarabu wanao....hawtupi uchafu hovyo hovyo kuliko dar, hawakojowi kila sehemu....mji huo haunuki au na vipi kuhusu Umeme na Maji...foleni za magari zikoje...garama za maisha kwa watu wa kima cha chini...wanaafford......Polisi wao unawaonaje kuhusianan na rushwa.....unaweza fanya biashara kwa uhuru ukiwa kama mgeni....afya kwa ujumla wana Hospitali za kutosha ...madaktari wazuri....unaweza muona dr mda wowte ukumhitaji...dawa zinapatikana.....then tu compare na Tz.
Tupe mwanga zaidi ya pichas.
Mkuu hela za dhahabu na almasi huwezi kulinganisha na za gesi na mafuta. Kwa makadirio ya benki ya dunia, TZ itakuwa inaingiza wastani wa dola bilioni 3 kwa mwaka (kumbuka bajeti yetu ya mwaka huu wa fedha ni dola bilioni 12)!Mkuu kwani pesa za dhahabu, almasi na madini mengine tumezifanyia nini so far?
ngudu yangu kw mji kama Dar huenda ikatugharim sana lakini kuna miji inayokua kwa kasi kama Mwanza,Arusha,Mbeya na Dodoma serikali ikiamua kuipangilia hii miji mapema tunaweza kuwa mara mbili ya jiji la luanda
Ukimaliza hizi naomba na zile picha za mbagala yao , Tandale yao uzitupie
Nikisema nitupie picha za dar mjini ( posta ) unaweza sema uko paradiso lkn hayo sio maisha halisi ya mkaaz wa dar
Hapa tutajidai kuja na kila aina ya visingizio kama ilivyo kawaida yetu, lakini kiukweli tunazisoma namba.. Picha tuu hizo zinazungumza hata kama kuna maeneo ambayo hali bado ni mbaya (Kila nchi duniani ina maeneo hayo) lakini jamaa wamejitahidi saana! Sisi tuna laana.