Picha: Miji ya Luanda nchini Angola

Picha: Miji ya Luanda nchini Angola

Aibu sana kama Mtanzania kuangalia hizi picha, hawa miaka ya tisini walikuwa vitani na majengo ya Luanda yalikuwa magofu, leo wako mbele kimiundombinu namna hiyo, dah! Tena ni colony la Portugal, hivyo watakuwa na katabia ka wa-brazil, beach za o sizipatii picha na vimwana, kama copa cabana.
 
Nigeria may be experiencing political tiffs lakini kiuchumi ile nchi ni heavyweight. It is ranked 26th in the world in terms of GDP (nominal: 30th in 2013 before rebasing, 40th in 2005, 52nd in 2000), and is the largest economy in Africa (based on rebased figures announced in April 2014). It is also on track to become one of the 20 largest economies in the world by 2020. Halafu uzuri wa Nigeria ni kuwa uchumi wake uko diversified vizuri kwa hiyo hawategemei mafuta tu, sio kama nchi zingine!
Badala ya kuisema Tz vibaya tuendelee kuiombea

When you have facts and figures make sure you use them correctly and to support the right argument...
 
Kama nchi ina majengo mazuri ila inahalalisha ukatili kama huu, basi ni bora wale wanaoishi kwenye mabanda na ustaarabu wao.


Nyinyi mnauwa ALBINO kwa kuendekeza USHIRIKINA na pia mmegoma kuboresha miundombinu 50 yrs baada ya uhuru...mnaiba hela za miradi/rushwa mnaenda kuzificha Ulaya....
 
Nyinyi mnauwa ALBINO kwa kuendekeza USHIRIKINA na pia mmegoma kuboresha miundombinu 50 yrs baada ya uhuru...mnaiba hela za miradi/rushwa mnaenda kuzificha Ulaya....

Wewe mimi niko huku miaka sasa, sijaua albino kabsaaaaa, usinitafutie kesi. Kama unawajua wauaji wa albino polisi wanawatafuta, nenda kawaambie.
 
Hao sio wageni ni wafungwa ntakuletea source. Lakin bora wao hata kama n wagen sie tumejaza wahind upanga kule mpka nyumba kupanga mamilion pfuuuu

Nimeangalia hiyo video but still huwezi kulinganisha na lile tukio baya sana na la kikatili la juzi la kumpora mtoto ALBINO live na kwenda kumuua na kumkata mikono na miguu just for witchcraft belief....au hiyo video inalingana na lile tukio la mauaji ya yule mwandishi wa habari kule Iringa??
 
vita imewafunza kua na displine.kwetu uku bado tunachekeana.wezi wa mali za umma wanapewa likizo.wanatamba hadharani kana kwamba hamna wa kuwagusa.bongo tukipata rais kauzu walaah twaweza kua kama ulaya
 
Itatuchukua miaka mingi sana kuwakuta angola hasa ukifikiria hii miaka kumi ya kurudi nyuma badala ya kwenda mbele ya huyu Kikwete. Kikwete kajenga daraja la kigamboni miaka kumi bado halijakamilika ni mwendo wahuni walioko madarakani kugawana pesa ya umma.
 
Arusha hawawezi kuupangilia_its too late,..arusha miongoni mwa miji yenye majina makubwa lakini hamna kitu for life i.e uko shaghalabhaghala mbaya....take if from me mkuu.

Mbeya bado hawajaiharibu sana kimpangilio,..wakitaka kuipangilia they have a room pale.

Pia mwanza bado pazuri sana kwa kutengeneza miundombuni kwa sababu ya milima na mabonde yake, yaani flyingover fupi fupi utapenda.
 
Sisi waswahili tuna taabu sanaa....hatukosi sababu....never!! baada ya miaka 20 njoo umuulize tena huhu huyu mmenufaikaje na gesi na mmefanya nini???....atakuja na CD nyingine... Wamekalia longo longo tuuu....
Mkuu sijasema kwamba hatuna kosa. Serikali ya CCM imeshindwa kuliondoa taifa kutoka katika dimbwi la umasikini na ujinga for over 50yrs since we became independent! CCM has betrayed the very ideals on which it was founded, and has made Tanzania a typical basket case!
Ila, ninachokisema ni kwamba, sekta ya mafuta na gesi offers us a slight glimmer of hope. Ukiangalia nchi kama Nigeria na Angola, ni nchi tajiri Afrika thanks to sector zao za mafuta na gesi. Sisemi for sure kwamba Tanzania tutafaulu....in fact kuna high chances kwamba, kwa uongozi huu wa kijinga, tunaweza tukaja endelea na umasikini wetu. But it doesn't hurt to keep your fingers crossed and pray for success!
 
ADA00609ANG.jpg
Hii umeisahau na hapa pia ni luanda Angola.
 
wakazi wa Dar jiji la maraha simje hapa muone,maana kutwa kutunanga sisi wa nje ya Dar na kutuita wa mikoani njoo na picha za jiji lenu chafu kuanzia mipango miji hadi mazingira yanayozunguka jiji

Mkuu mimi sio mwanaume wa dar, mimi ni mwanaume wa Green City Mbeya, ingekuwa possible sisi tungejitenga na Tanzania, leo hii tungeongea habari nyingine kwani kuna wakati huwa tunasahau kama nasi ni Watanzania!
 
Back
Top Bottom