Picha: Miji ya Luanda nchini Angola

Picha: Miji ya Luanda nchini Angola

Aisee wako juu sana yaani Police Patrol car wanatumia Audi. Wenzetu wanapaa wakati sisi tuna chechemea
 
Tanzania sisi miundombinu yetu tulishaiharibu toka enzi za kale sasa hivi hatuwezi kuwa na sehemu kama hizo hata iweje.Labda tuweke Dozer toka Kimara mpk Ferry then tuanze fresh.

Na uthubutu huo ukifanyika basi tutatoka hapa tulipo
 
Sidhani kama wanatuongoza sisi maana kama wangekua wanatuongoza sisi wangekuwa wasikivu alafu ule mpango wa kujenga mji mpya wa kigamboni bado upo???
 
Wenzetu wana viongozi sisi tuna watawala miaka 50 na zaidi sasa ngoja watawala watoke waje viongozi tunaweza kusogea japo si kama wao.
 
Tanzania sisi miundombinu yetu tulishaiharibu toka enzi za kale sasa hivi hatuwezi kuwa na sehemu kama hizo hata iweje.Labda tuweke Dozer toka Kimara mpk Ferry then tuanze fresh.

Ngoja na sisi tuanze kupata hela za gesi....!

Chini ya uongozi wa ccm hivi vitu kuwepo ni kama mbingu na ardhi.
 
ngudu yangu kw mji kama Dar huenda ikatugharim sana lakini kuna miji inayokua kwa kasi kama Mwanza,Arusha,Mbeya na Dodoma serikali ikiamua kuipangilia hii miji mapema tunaweza kuwa mara mbili ya jiji la luanda

Serikali kuamua sasa si ndo issue....Mwanza mpaka leo watu wanajenga ovyo ovyo bla mpango na watu wa mipango miji wapo tu maofsn wanasoma magazet. Watashtukia mji ushakuwa ovyo
 
Half London ndiyo hiyo.....
Tukiacha ufisadi kwa miaka kumi tunaweza kuwakuta na kuwapita
 
4o8jUwP.jpg

czM40HR.jpg

g8zcn2e.jpg

wtKoTOC.jpg

VNpYtDv.jpg

gEUGt9J.jpg

y0NC4cf.jpg
 
Mkuu hela za dhahabu na almasi huwezi kulinganisha na za gesi na mafuta. Kwa makadirio ya benki ya dunia, TZ itakuwa inaingiza wastani wa dola bilioni 3 kwa mwaka (kumbuka bajeti yetu ya mwaka huu wa fedha ni dola bilioni 12)!
Halafu hela za dhahabu na almasi zilikuwa zinaingizwa moja kwa moja kwenye bajeti ya nchi (budget financing), hivyo wananchi wengi walikuwa hawaoni mafanikio yake.
Hela za mafuta na gesi huwez kufanya hivyo unless unataka kuua uchumi wa nchi. Lazima kuundwe mfuko maalum (sovereign wealth fund)

Kumbe! Ina Botswana wenyewe waliwezaje?
 
Kumbe! Ina Botswana wenyewe waliwezaje?
Botswana's impressive economic record has been built on a foundation of diamond mining, prudent fiscal policies, international financial and technical assistance, and a cautious foreign policy. It is rated the least corrupt country in Africa, according to an international corruption watchdog, Transparency International.

 
Usisahau Mkuu kuhusu ufisadi, rushwa na Jiji la Dar ambalo tunaweza kusema ndio capital city ya Tanzania (Dodoma danganya toto bado tunahamia mji Mkuu mpya kwa miaka 40 sasa!!! Nasikia 1975 ndio ilitangazwa kwamba capital city si Dar tena bali Dodoma) linakaribia kuchukua nafasi ya juu kabisa kwa kuongoza kwa uchafu duniani na kutoa harufu kali na mbaya sana inayosababishwa na uchafu huo.

TANZANIA tuko nyuma kwa almost kila kitu isopokuwa KUUA ALBINO TU NDIYO NCHI INAONGOZA DUNIANI!,kazi kweli kweli.
 

Brutality in Angola. (warning: video inaonyesha ukatili)





Hawa jamaa washenzi sana. Kama maendeleo yenyewe ndio namna hii sidhani kama ni sahihi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom