Picha: Miji ya Luanda nchini Angola

Picha: Miji ya Luanda nchini Angola

Tuwaulize wao walienda kwa mganga yup ili na cc twende

Msemakweli ( I doubt kama jina bado linareflect tabia hapa) anasema kwamba hatuna haja ya kutafuta mchawi , tusubiri tu pesa ya gesi na mafuta mambo yetu yatakuwa mswano kbs.
 
hahahah ndoo hawa wanachagua mtu kwa kigezo cha kumuandalia Rais hotuba, eti kwa sababu unaanda hotuba za Rais na wewe unafaa kuwa Rais au umeandika kitabu .

...dadeki kandamiza hapohapo,walituchagulia sura akaishia kuhonga wilaya,wameanza kumsifia muandaa hotuba utafikiri tunatafuta mwandishi bora wa cnn...
 
Nilisoma chuo na jamaa mmoja toka Angola, tulikuwa tunabishana sana yeye akisifia kwao nami nikisifia kwetu. Nilikuwa naona jamaa akijimegea sana. Ila kwa hizi picha jamaa alikuwa sahihi mara 1000%. Bongo tujipange upya.
 
Nimeona watu wanapanda kwa hzo bus hapo juu waaaaaaau wamepanga foleni sasa kapange folen pale mbagala bugurun au gongo la mboto kwanza bus stand manina wanauza uza sijui juice za miwa mara mitumba mara viatu sijui pale ubungo wamachinga wanauza vitu chini ya grid za umeme utamu unakuja hapa Tz hakuna place unaweza ukawa unatembea unatumia sim mana hao boda boda wapite kushoto mara kulia bas majnga
 
Hata ustaarabu unatushinda. Watu kuminyana, kuchafuana ili kuweza kuingia ndani ya basi ni mgogoro mkubwa!!Hata Wanafunzi hakuna anayewajali wanaminywa tu mtindo mmoja halafu wenyewe wanaona ni ujanja wa MUJINI, baadhi ya Watanzania ndivyo walivyo hawana hata chembe ya ustaarabu.

Nimeona watu wanapanda kwa hzo bus hapo juu waaaaaaau wamepanga foleni sasa kapange folen pale mbagala bugurun au gongo la mboto kwanza bus stand manina wanauza uza sijui juice za miwa mara mitumba mara viatu sijui pale ubungo wamachinga wanauza vitu chini ya grid za umeme utamu unakuja hapa Tz hakuna place unaweza ukawa unatembea unatumia sim mana hao boda boda wapite kushoto mara kulia bas majnga
 
Ridculoiz,
Hujanijibu maswali yangu......umemtupia mzigo Tosh naye sijuwi atajibu lini.
pfv, ---- verdade.....lete maelezo ya maswali yangu. Nataka kuja huko!
 
Sisi tunaongoza kuchagua viongozi wasio waaminifu,wezi,wasio na uzalendo,Pia kujiibia Mali zetu wenyewe kama vile madini tofouti tofauti yanayopatikana hapa nchi!

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Hii nchi tajiri sana lakini pia tajiri kwa ufisadi watu wake wengi bado wana shida
 
during war
AngolaWarDamage.jpg
cuito.jpg

post war
Luanda.jpg

Kuna haja ya kuingia msituni mwaka huu.. Hii mipumbavu haistaili kurudi madarakani kamwe
 
Pamoja na civil war za muda mrefu lakini wametuacha mbali sana sisi "kisiwa cha amani"

Na bado tunajidanganya kujiita kisiwa cha amani wakati we are just useless. Wenzetu wanapiga hatua za kimaendeleo sie tupo tu kukashifu majirani zetu wanaopiga hatua za kimaendeleo.
 
Nimeona watu wanapanda kwa hzo bus hapo juu waaaaaaau wamepanga foleni sasa kapange folen pale mbagala bugurun au gongo la mboto kwanza bus stand manina wanauza uza sijui juice za miwa mara mitumba mara viatu sijui pale ubungo wamachinga wanauza vitu chini ya grid za umeme utamu unakuja hapa Tz hakuna place unaweza ukawa unatembea unatumia sim mana hao boda boda wapite kushoto mara kulia bas majnga

hahahha Jestina, kwanza zile vacation zako za Singapore bado unaendaga.. Been a while, missing u alot..

Ila hapo kwenye red umenifanya nicheke kwa sauti..
 
Picha nzuri sana. Wareno walipanga huo mji vizuri. Kama wajerumani walivyozipanga Tanga na Moshi.

Natamani wengi waliochangia wangeonyesha walau wamefanya/wanafanya nini kupiga hatua kuelekea maendeleo makubwa zaidi ya tulipo. Wengi wameishia kulaumu.

Ni sawa na kuona jirani kanunua gari, badala ya kushauriana ndani ya familia namna ya nyie kusonga, mnaishia kutukanana, kuzodoana na kuitana majina!! Hapo, mchawi ni nyie wenyewe.

Picha kama hizi zitupe hasira ya kubadili yanayoturudisha nyuma. Na cha kwanza ni mtu mwenyewe. Tusiangalie mbali. Mtazamo chanya na kujibidisha ni mwanzo wa kuelekea pa kuja kupigiwa mfano.

ANGALIZO: hivi kwanini katika hizo picha 'hakuna' watu? Hao wachache walioonekana wana hali za kawaida sana ukilinganisha na 'utamu' wa kimcharo wa hizo picha!!! Kuna kitu hakiko sawa......

MAENDELEO YA KWELI HULENGA WATU......
 
hahahha Jestina, kwanza zile vacation zako za Singapore bado unaendaga.. Been a while, missing u alot..

Ila hapo kwenye red umenifanya nicheke kwa sauti..

Mmmh wacheka nin niko serious singapore kufanyaje..????
 
Mmmh wacheka nin niko serious singapore kufanyaje..????

sicheki kwa mazuri.. u nailed it all, Dar ni kichaka tu hakuna lolote

Anyway nilikufananisha na rafiki yangu wa zamani.. A Rwandese GIRL alikua anaishi Masaki, yeye kila siku route zake z vacations ni Singapore, Malaysia and the likes
 
Back
Top Bottom