Wala huo siyo mtumba ndugu yangu. Ukivaa hiyo nguo you know when what you are looking at is mtumba or not. Ila inawezakuwa aliyevaa nguo hizo siyo mwanajeshi pia. But vyovyote vile meseji inayotolewa naikubaliMagwanda ya kijeshi yanauzwa kila uchochoro wa mitumba! sasa gwanda hilo halinishangazi maana tangu turuhusu mitumba sio shida tena kujipatia gwanda la jeshi!
Kosa lake litakuwa lipi?
Kosa lake litakuwa lipi?
Magwanda ya kijeshi yanauzwa kila uchochoro wa mitumba! sasa gwanda hilo halinishangazi maana tangu turuhusu mitumba sio shida tena kujipatia gwanda la jeshi!
Magwanda ya kijeshi yanauzwa kila uchochoro wa mitumba! sasa gwanda hilo halinishangazi maana tangu turuhusu mitumba sio shida tena kujipatia gwanda la jeshi!
Dada yangu naona unajidanganya,uonanyo ndiyo hali halisi iliyopo,amini usiamini!Magwanda ya kijeshi yanauzwa kila uchochoro wa mitumba! sasa gwanda hilo halinishangazi maana tangu turuhusu mitumba sio shida tena kujipatia gwanda la jeshi!
Kosa lake litakuwa lipi?
Kosa lake litakuwa lipi?
Magwanda ya kijeshi yanauzwa kila uchochoro wa mitumba! sasa gwanda hilo halinishangazi maana tangu turuhusu mitumba sio shida tena kujipatia gwanda la jeshi!
Kosa lake litakuwa lipi?
Mkuu mimi sioni kosa lake na kama kuna mtu anaona kosa lake alibainishe kisheria. na ndio maana hata wao huruhusiwa kupiga kura. Tukio hili ni moja kati ya hamasisho kubwa kwa wenzake. Hapa ni sawa na ile kauli mbiu ya "serikali haina dini" lakini je ni kweli kuwa raia zake nao hawana dini?
jeshi lina sheria, kanuni na taratibu zake! lets wait...........