Picha: Mbowe akagua Red brigade Mwanza

Picha: Mbowe akagua Red brigade Mwanza

Tatizo baada ya uchaguzi wakati wa kulipana fadhira patakuwa patamu umeshinda hukushinda ...............
 
Vijana wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, al maarufu kama RED BRIGADE, wakila kiapo cha utii, mbele ya Mwenyekiti wa taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe, jijini Mwanza siku ya Jumamosi Februari 28, 2015. Kiapo hicho kinafuatia kukamilika kwa mafunzo ya kiulinzi na usalama kwa vijana hao.
 
serikali kwa nini inakiacha hiki kikundi cha kigaidi
 
Haya majeshi yaruhusiwe kuwa na silaha... Wapewe ruzuku kujiimarisha kijeshi
 
Naona mnataka kuanzisha makundi ya ujambazi, REDBRIGADE ni wahuni waliokata tamaa waliokotezwaokotezwa leo uwape kulinda ALBINO?

.......Chadema iko imara ...mwaka huu Kura za Chadema hazitaibiwa !!!!
 
serikali kwa nini inakiacha hiki kikundi cha kigaidi

Katiba ya CHADEMA ibara ya 7.6.4(h) imeruhusu Uundwaji wa Kurugenzi ya Ulinzi na Usalama ya chama na kikosi cha Ulinzi kinatambulika kama Brigedia Nyekundu(Red Brigade) na majukumu yake ya kulinda Mali ya chama ,Viongozi na Maslahi ya Chama yameainishwa

Katiba hii ni ile ambayo imepokelewa na kusajiliwa rasmi(kihalali/kisheria) kwenye Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa

CCM watuambie Green Guard imesajiliwa wapi maana hata katiba yao haijaitambua Green Guard.Hao si wahuni na Magaidi tu?
 
Mbona si elewi tunakoelekea. Kila mtu akijilinda matokeo nini? Kuna nini kinachoendelea Tanzania?
 
Kulazimisha ukuu.Dictatorial tendancies hizo

Pathetic
 
Kila mtu ana haki ya kujilinda 1425305898161.jpg 1425305926733.jpg
 
Katiba ya CHADEMA ibara ya 7.6.4(h) imeruhusu Uundwaji wa Kurugenzi ya Ulinzi na Usalama ya chama na kikosi cha Ulinzi kinatambulika kama Brigedia Nyekundu(Red Brigade) na majukumu yake ya kulinda Mali ya chama ,Viongozi na Maslahi ya Chama yameainishwa

Katiba hii ni ile ambayo imepokelewa na kusajiliwa rasmi(kihalali/kisheria) kwenye Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa

CCM watuambie Green Guard imesajiliwa wapi maana hata katiba yao haijaitambua Green Guard.Hao si wahuni na Magaidi tu?

suala la ulinzi na usalama ni kazi ya polisi, hicho kikosi chenu cha kigaidi ilitakiwa kitambulike ba wizara ya ulinzi na usalama,sio ofisi ya msajili wa vyama,
 
hata boko haram walianza hivi hivi kama hawa red brigade,
 
Hii si sawa na rudia tena hii si sawa hata kidogo.

Mfumo wa siasa za vyama vingi tumeuiga. Hawa tuliowaiga mfano USA, Ujerunani, UK, nk.
Wana Vyama vya siasa venye nguvu kubwa sana tu, Tuulizane wote, je mlishaona vyama vyao vikiwa na majeshi yake kama hivi hapa kwetu?

Isis walianza kidogo kidogo kama hawa, mambo na matendo yao sasa hakuna asiye ya jua.

Mimi na shindwa kuelewa, kwa nini vyombo vya dola visiaminike vikaachiwa hii kazi yake.

Huku kuto kuaminiana kukiachwa kukaendelea bila kupatiwa ufumbuzi/dawa, kutageuza vikundi hivi vije kuwa majeshi rasmi ya vyama. Ni suala la muda tu.

Mkuu huko sahihi kabisa lakin hivi vyama vingine visingeanza kuunda vikosi vyao kama chama mama yaan ccm kisngejiingiza. Walianza kama utani matokeo yake waligeuza kuwa ni fursa ya utesi kwa vyama pinzani. Kwa hali ilikofikia hatuna jinsi n vyama vyote inabidi vijihami japo naona kuna kila dalili za mchafuko mkuu. Ni hayo tu
 
Back
Top Bottom