Picha: Mbowe akagua Red brigade Mwanza

Picha: Mbowe akagua Red brigade Mwanza

JKT, kazi nje nje! Ukikosa kushoto geukia kulia ilimradi tu uwalinde wananchi!
 
Hawa mbona ISIS hawa....!!!

These radicalised YOUNG MEN are very dangerous...


....

red%2Bbrigade2.jpg


mbowe_Red%2BBrigade.jpg


Lwakatare.jpg


red_brigade1.jpg
 
Bora hao wanaopiga nondo maana wenye bunduki,mbwa n.k wameshindwa.
Si unajua pamoja na udogo na silaha duni Daudi alimshinda Goliat?
Wakati mwingine acheni utani, suala la ulinzi wa taifa sio km kujifunza udereva, red brigade tz nzima hawazd hata 5000, mafunzo yao ni Yale ya kupiga Nondo/Kunyanyua vyuma uswaz wataezea wapi, suala la ulinzi ni taaluma ambayo kwa utashi wako ujikute tu ni ndoto, tupiganie nchi kwa ujumla wasimame kidete kuwalinda ndg zetu vngnevo tunatwanga maji kwny kinu
 
red brigade ni mahususi kwa ajili ya kulinda kura na ulinzi wa chama
 
Ndio njia mbadala kamanda.
Tumaini lao la kwanza limeyeyuka!
Naona mnataka kuanzisha makundi ya ujambazi, REDBRIGADE ni wahuni waliokata tamaa waliokotezwaokotezwa leo uwape kulinda ALBINO?
 
Mwakahuu tembeeni na toilet paper ccm,Maana uchaguzi mkuu kujisaidia kupo nje-nje
 
Asante kamanda,hoja yako makini.
Polisi wanalinda wenye presha na vitambi mijini.
Albino wanauliwa vijijini!
La kuzingatia ni kuwa wana watu wengi nyuma yao na bado hawajaingia katika mfumo CCM wa rushwa. Kwa hiyo uwezekano wa kuzuia matukio kabla ya kutokea ni mkubwa kuliko walio katika mfumo rasmi na wanachukiwa na wananchi kwa kutetea na kulinda CCM.
 
Hii si sawa na rudia tena hii si sawa hata kidogo.

Mfumo wa siasa za vyama vingi tumeuiga. Hawa tuliowaiga mfano USA, Ujerunani, UK, nk.
Wana Vyama vya siasa venye nguvu kubwa sana tu, Tuulizane wote, je mlishaona vyama vyao vikiwa na majeshi yake kama hivi hapa kwetu?

Isis walianza kidogo kidogo kama hawa, mambo na matendo yao sasa hakuna asiye ya jua.

Mimi na shindwa kuelewa, kwa nini vyombo vya dola visiaminike vikaachiwa hii kazi yake.

Huku kuto kuaminiana kukiachwa kukaendelea bila kupatiwa ufumbuzi/dawa, kutageuza vikundi hivi vije kuwa majeshi rasmi ya vyama. Ni suala la muda tu.

Greenguard iko tangu mfumo wa chama kimoja. Vyombo hivi havikuaminiwa tangu zamani, na havitaaminiwa hadi vifumuliwe na kuundwa upya. Wacha kila chama kiwe na guard zake ili kunyanyasana kukome.
 
Saafi sanaaa!!
Suti nyeusi, miwani myeusi, shati jeupe na tai nyekundu!! Ipo poa sanaa!!

Ila hapo kichwani!!, mzula?!! Sawa basi angalau ungekuwa na bendera ya Tanzania au Chadema!! NY?!? New York?!!
Ndio nini?!!
 
Serikali inapaswa kukemea haya makundi ya Kihuni...
Ni kweli kabisa lazima serikali iyaangalie haya yasije yakatuletea uvunjwaji wa amani nchini,lakini kwa kuangalia upande mwengine ni wao ndio walioanzisha mambo ya namna hii,hebu angalieni kule Songea ktk sikukuu ya kuadhimisha miaka ya kuzaliwa ccm wale vijana wao walionyesha nini kule uwanja wa maji maji,mpaka karate na self defence zote zilionyeshwa na kwa mantiki hiyo hiyo sishangai sana kwa cdm nawao kuonyesha jinsi walivyo tayari. Mr.Murage
 
Unajitangaza bila kufahamu kwamba wewe ni mtu wa escrow, epa, tender,rea na mauchafu mengine yanayopamba lumumba ya makengeza inayotumia milioni kumi kununua mboga!

hayo yote yanahusiana vipi na tenda ya kushonesha suti? Ndio hamasa nilizosema hizooo.
 
Back
Top Bottom