hata boko haram walianza hivi hivi kama hawa red brigade,
.....Mwaka huu Kura mtazitazama kwenye box TUMEJIPANGA !!!
Ilitakiwa utafakari kwa nini vyombo vya Usalama havijachukua Hatua ilihali wanalifahamu hilo. Wewe kuwawahi ngumu, tooooo late! Wameshakamilika, organised! Huna ground yoyote zaidi ya Ukilaza!Kweli mkuu,hawa ni kuwawahi kabla hawajaleta vurugu.halafu wanataka nchi.wamekaa kiwiziwizi.
hata boko haram walianza hivi hivi kama hawa red brigade,
Cha kuvunja ni Green Guard chenye Silaha na mafunzo ya Kijeshi ilihali hawatambuliki Kisheria. Fanya Homework yako sawasawa na Uache Ukilaza!hayo mafunzo ni nani anawapa na wanatumia silaha gani? hiki kikundi kinahatarisha usalama wa nchi ,kivunjwe mara moja
ukitaka mazombi yahamaki uliza nani alipewa tenda ya ku-supply hizo suti. hehehhehe.
Kulazimisha ukuu.Dictatorial tendancies hizo
Pathetic
Mnalo hilo...! Mmepigwa na butwaa...! safari hii ni tit for tat hakuna kuchekeana.hayo mafunzo ni nani anawapa na wanatumia silaha gani? hiki kikundi kinahatarisha usalama wa nchi ,kivunjwe mara moja
suala la ulinzi na usalama ni kazi ya polisi, hicho kikosi chenu cha kigaidi ilitakiwa kitambulike ba wizara ya ulinzi na usalama,sio ofisi ya msajili wa vyama,
Come on man, a country like this where anybody having different political outlook/opinion/thinking from that of CCM finds himself in Mabwepande forest, with no nails, eyes choped out, you need to have security of some sort!
Mkuu,security ndo kuunda "jeshi" na kulikagua?!!!! Personal security inatosha
Gist ya hiyo event ni ku send a statement kuwa yeye ni mtu mkubwa na ana "jeshi".By definition jeshi ni taasisi yenye uwezo wa kupigana vita.Sasa sijui Mh Mbowe anaashiria nini yeye kuwa na "jeshi"!!
....
![]()
![]()
![]()
![]()
Kura zinalindwa na Tpdf na polisi.hao ni mgambo wa kulinda mikutano ya kampeni.subiri uone jwtz kama watasogeaWizara ya Ulinzi haina mandate ya kuingilia.Ofisi ya Msajili anayeteuliwa na Rais kama amavyo Waziri wa Ulinzi anavyoteuliwa imeshatambua na kukubali kwamba ni halali kisheria na kikatiba.Kazi kwenu sasa.