Picha: Mbowe akagua Red brigade Mwanza

Picha: Mbowe akagua Red brigade Mwanza

...bado unamkumbuka ? kweli we jambazi mzoefu, ila mwenzako aliacha,we umehamia kwenye tembo,mnawamaliza tu...

Mpaka uchaguzi uishe ndio tembo wataanza kuongezeka
 
WAmepata Mafunzo Toka Wapi? Wasijekuwa Midebwedo

1425237854579.jpg kama hawa?
 
Hii si sawa na rudia tena hii si sawa hata kidogo.

Mfumo wa siasa za vyama vingi tumeuiga. Hawa tuliowaiga mfano USA, Ujerunani, UK, nk.
Wana Vyama vya siasa venye nguvu kubwa sana tu, Tuulizane wote, je mlishaona vyama vyao vikiwa na majeshi yake kama hivi hapa kwetu?

Isis walianza kidogo kidogo kama hawa, mambo na matendo yao sasa hakuna asiye ya jua.

Mimi na shindwa kuelewa, kwa nini vyombo vya dola visiaminike vikaachiwa hii kazi yake.

Huku kuto kuaminiana kukiachwa kukaendelea bila kupatiwa ufumbuzi/dawa, kutageuza vikundi hivi vije kuwa majeshi rasmi ya vyama. Ni suala la muda tu.
 
kumekucha #tz ya sasa cyo kam ya mzee nyerere.huu ni mwanzo mwisho wake ni rick machar na salva keer
 
KWA UTAJIRI MLOKWIBA, HAMKUPASWA KUPIGA JARAMBA PEKU..........NJAA TU HIZO..........PEKU TANGU 1960s
 
Duh hapa safar hii hakuna kulalamikia ffu, tupo fit sana tena nashauri zitafutwe na baruti kwa ulinzi zaidi, tumechoka kuonewa daily
 
Mbowe anaota kupigiwa mizinga 21
Mbowe alivyo muhuni usikute hawajala hapo vumilieni tugomboe nchi, wakati tuna miaka 53 ya uhuru.
 
Hawa wanajeshi wazalendo ni makini sana ningekuwa mwanza ningewapa ofa ya bia kila mtu
 
Back
Top Bottom