MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,279
Yaani Mbowe ndio anakagua gwaride la hao wahuni?
Chama cha Demokrasia na Maigizo =CHADEMA
yaani mbowe ndio anakagua gwaride la hao wahuni?
....
![]()
![]()
![]()
![]()
....red brigate ina uwezo wa kuwalinda albino kabisa
yaani ni wauwaji watupu wale. Umeona picha zao?Naona mnataka kuanzisha makundi ya ujambazi, REDBRIGADE ni wahuni waliokata tamaa waliokotezwaokotezwa leo uwape kulinda ALBINO?
Daaaaaaaaaaahhh mawazo yamegongana namimi nilikuwa nawaza hivyohivyo.uwezi amini hawajamaaa wapo vizuri sana
Subutu! Mnatutisha nini nyie? Mbona hata sisi tuko imara kamili gado!
View attachment 230967
Wakati mwingine acheni utani, suala la ulinzi wa taifa sio km kujifunza udereva, red brigade tz nzima hawazd hata 5000, mafunzo yao ni Yale ya kupiga Nondo/Kunyanyua vyuma uswaz wataezea wapi, suala la ulinzi ni taaluma ambayo kwa utashi wako ujikute tu ni ndoto, tupiganie nchi kwa ujumla wasimame kidete kuwalinda ndg zetu vngnevo tunatwanga maji kwny kinu