Picha: Mbowe akagua Red brigade Mwanza

Picha: Mbowe akagua Red brigade Mwanza

Najiungaje Red Brigade? Mimi nipo Dar sijui hata mazoezi wanafanyiaga wapi.
 
Nashukuru kwa kukiri kwa Kinywa chako ku wewe jMali, mtoto wa Mama Rose Kamili kuwa ni Punga a.k.a Bwabwa ama Shog.a

Mpwa Matola njoo uone mijitu inayo ji advertise kuwa ni mi Punga

mtoto wa nyoka ni nyoka unajua hilo? nyoka hazai chura ujue, hivyo kama mimi punga na baba yangu katibu mkuu naye ni ???
 
Ulishasikia suti nyeusi kupata ni shida? Hizi mbona zipo mitumbani kibao? Wewe tu mburula ndo unaona shida

HAHAHA, nimethibitisha komenti yangu hapo chini.
ukitaka mazombi yahamaki uliza nani alipewa tenda ya ku-supply hizo suti. hehehhehe.
 
....

red%2Bbrigade2.jpg

mbowe_Red%2BBrigade.jpg

Lwakatare.jpg

red_brigade1.jpg
Naona safari hii kutakuwa hakuna sababu tena na malalamiko kuwa Usalama wa Taifa wameiba kura walinzi tayari mnao.

Kwa upande wa suti kazi mnayo ni mtambo wa joto 100% plastic.

Halafu huyo mlinzi wa mbele usiku uwa anasimama mlangoni pale Bilicanas.
 
PIX+005.JPG
 
Serikali.iko.wapi hapa wanatengenezwa kina.Kone, mtashindwa.kuwahimili baadaye
 
Hawa ndiyo wanaovamia vituo vya polisi na kupora silaha,JK kalala usingizi mzitoooo anahangaika tu kumfitini Lowassa duh!
 
Naona safari hii kutakuwa hakuna sababu tena na malalamiko kuwa Usalama wa Taifa wameiba kura walinzi tayari mnao.

Kwa upande wa suti kazi mnayo ni mtambo wa joto 100% plastic.

Halafu huyo mlinzi wa mbele usiku uwa anasimama mlangoni pale Bilicanas.

nyie mtakuwa mnatumia green guard ya JWTZ au ya Amboni??
 
Serikali ya CCM kweli dhaifu, kama kila chama kitakuwa na sungusungu, basi tunaelekea pabaya
 
Serikali ya CCM kweli dhaifu, kama kila chama kitakuwa na sungusungu, basi tunaelekea pabaya

..ccm ndiyo walioanzisha utaratibu huo.

..cdm na cuf wanaiga tu yale wanayofanya ccm.

.tena ccm wanakatisha watoto masomo kwenda kuhudhuria shughuli za chama. waziri mkuu aliulizwa swali hili bungeni, akajibu kwa dharau kwamba, wanafunzi waliohudhuria sherehe za ccm ni watoto wa wana ccm!!!
 
Hawa ndiyo wanaovamia vituo vya polisi na kupora silaha,JK kalala usingizi mzitoooo anahangaika tu kumfitini Lowassa duh!
haa haa mkuu una utani na jk wewe! Yaani umwambie green guard wanapora silaha? Duh!
 
Back
Top Bottom